eti twin wake anataka anitulize mawazo. nimkubali?

loid

Member
Dec 20, 2011
26
6
niliachana na mchumba wangu miezi 3 iliyopita baada ya kumfumania akiwa na kishanshuda po mwingine. niliumia sana ukizingatia alikua keshantolea mahari na tulikua kwenye process za kufunga ndoa mwezi wa 9 mwaka huu. nilipomuuliza kwa nn amenisaliti akanijibu ye haelewi ila kimsingi amefall sana kwa yule bi shot dats y mi nikaamua kutong'ang'ania coz kweli niliona mwenzangu anapendwa hata zaidi yangu. ckuwaambia home kama tumeachana, ndugu marafiki nao kucha hawaachi kunitania 'bi harusi' ila langu moyoni siwezi sema. nyumbani kwao mchumba wangu wanafahamu hali hiyo na wakamkalisha vikao lakin hakuonekana kulegeza msimamo. basi ma mkwe akaniambia 'mwachie Mungu mwanangu'. sasa tatizo limekuja pale ambapo pacha wake na yule mtu wangu (wanafanana kila kitu) eti anataka kuwa na mimi. na anasema kama mwenzie haniitaji ye ananipenda na haina haja ya kucancel ndoa coz ye ndo atanioa na haina haja wa kuwaambia home kama nimebadilisha coz hawawezi kuwatofautisha. help me plz shem yupo serious kuhusi hili na mimi niko njia panda nifanyejee??????????????? niwe na shem nifiche aibu au niwaambie ndugu zangu kilichonikuta?
 
Swali lako kiutu uzima we usham'fall huyo shem wako, so kichwa ya mtu serikali ya mtu!
Maliza mchezo chukua mwenza huyo! Usiiweke usiku.
 
niliachana na mchumba wangu miezi 3 iliyopita baada ya kumfumania akiwa na kishanshuda po mwingine. niliumia sana ukizingatia alikua keshantolea mahari na tulikua kwenye process za kufunga ndoa mwezi wa 9 mwaka huu. nilipomuuliza kwa nn amenisaliti akanijibu ye haelewi ila kimsingi amefall sana kwa yule bi shot dats y mi nikaamua kutong'ang'ania coz kweli niliona mwenzangu anapendwa hata zaidi yangu. ckuwaambia home kama tumeachana, ndugu marafiki nao kucha hawaachi kunitania 'bi harusi' ila langu moyoni siwezi sema. nyumbani kwao mchumba wangu wanafahamu hali hiyo na wakamkalisha vikao lakin hakuonekana kulegeza msimamo. basi ma mkwe akaniambia 'mwachie Mungu mwanangu'. sasa tatizo limekuja pale ambapo pacha wake na yule mtu wangu (wanafanana kila kitu) eti anataka kuwa na mimi. na anasema kama mwenzie haniitaji ye ananipenda na haina haja ya kucancel ndoa coz ye ndo atanioa na haina haja wa kuwaambia home kama nimebadilisha coz hawawezi kuwatofautisha. help me plz shem yupo serious kuhusi hili na mimi niko njia panda nifanyejee??????????????? niwe na shem nifiche aibu au niwaambie ndugu zangu kilichonikuta?

Daaaaah kama filamu ya RAY na KANUMBA hivi!!!!mapenzi haya yatatuoa roho vijana, Loid kuwa kama mbayu wayu akili za kuambiwa...............................
 
Hivi gari ikikata breki kwenye mteremko huwa inastuka kweli???

Yaani kupata hilo wazo la kumkubali ndugu yake wa bwana aliyemuacha ndio kosa
Wala kuliwa naye si kosa.

Seriously, kaka yake kagonga mzigo, untarajia yeye aje aoe? Wee nenda kaombewe kwanza au mwambie mama yako atakupa ushauri wa kiutu uzima usio na wivu kuliko mashost.

Watakugonga wote wawili bila kujua. Stuka!
 
Ama kweli duniani kuna mambo.
Anyway, kwani wewe unamfeel na kumpenda kwa dhati huyo twin brother wa X wako au unataka kuwa nae as a case ya kuficha aibu kwenu? Is it serious kwamba kwenu hawajui kuwa X wako ana twin brother identical to him? na kama hawatajua kwa sasa do you think it will last forever kwamba ndiye mchumba wako wa awali?
Jibu hayo maswali ntarudi baadae ku'mark' ndo nikushauri..
 
waambie nyumbani kwenu kuwa ndoa imekufa....
kisha kata ties na huyu pacha,acha mazoea yatakayokufanya uwe karibu nae....
usipofanya hivi,ukawa karibu nae utajikuta ushatembea nae na ndoa hakuna.....
 
Pole sana bibie,jinamizi la kuachwa bado linakuumiza kichwa na maamuzi yako mengi yatakuwa si ya dhati bali kupoza machungu!Nakushauri vuta pumzi ujipange upya b'se sidhani kama kweli kuna penzi la dhati kati yenu nyie!!
 
nah! am not sure nahic kwa sababu wanafanana kila k2 kuna cku ntampenda 2
 
I cont do that, home sku zote walikua against relationship ye2. so nilitaka kuwaprove wrong. siwezi kuwaambia. thro washanotes thomething z wrong 2 me bt huwa nawaambia tuko ok
 
Follow your line of thinking; maana moyo wako hauko friendly na ur need ya kuficha aibu.
 
mistakes that people make and regret forever in their lives.
1. Kuolewa/kuoa kisa watu wanadai umri umekwenda
2. Kuolewa/kuoa kisa ndoa heshima katika jamii.
3. Kuoa/kuolewa kuficha aibu kwakuwa mshatambulishana sasa itakuwa aibu mkiachana.
4. Kuwa na wazo la kwamba mtu utajifunza mpenda katika maisha ya ndoa.

Bora aibu ya mwezi kuliko majuto ya maisha. Huoni aibu kuptiwa na ndugu tena mapacha.
Inawezekana naye anataka akuptie mimi nsha xperience kwa mapacha wengi wa kiume wana tabia ya kupokezana wasichana isije kukumba pia.
What if utashindwa mpenda mkiwa katika ndoa.

Wewe ndie hakimu wa kesi yako sisi ni wazee wa mahakama tunatoa ushauri tu.
 
We nae unasumbuliwa na umalaya tu,utawapendaje ndugu wawil bwana?
 
nah! am not sure nahic kwa sababu wanafanana kila k2 kuna cku ntampenda 2
.
Kha! Kumbe keshakuto***. Manake kama unajua wanafanana kila kitu, hata mb** yake unaijua. We endelea nae tu usipotezee watu muda hapa..
 
cna maana hyo kwamba wanafanana mpaka *mb* coz mi cmjui shem yukoje. ila all i want ni kuondokana na maneno ya w2 pale watakapojua 2neachana na m2 wangu. nafkiria kuongea na mhusika kama atakubali mi niko tayari kuwa na mwenzie
 
We nae unasumbuliwa na umalaya tu,utawapendaje ndugu wawil bwana?
cjapenda ndugu wawili ila kwa jinsi situation ilivo cjielewi kabisa. natamani mimwambie X wangu kuhusu twin bro wake ila cjui ntaanza vp. ila kikubwa ctaki wa2 wajue kilichotokea. ndo maana nafkiria kuwa na twin wke ili coz nahic w2 hawatojua
 
Back
Top Bottom