Adhabu kubwa kabisa utakayompa mumeo kwa kufanya mapenzi na mdogo wako ukiwa mjamzito?

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,013
1,443
Wanajamii hasa wanawake nataka kupata maoni yenu juu ya adhabu ambayo utampa mume0 ikiwa "kateleza" katembea na mdogo wako wa tumbo moja baba mbalimbali ukiwa mjamzito karibu na kujifungua!ukajua kwa mdogo mtu kukurpuka na kukwambia! Lakini mumeo amejutia akatubu kwa kukubembeleza na kukwambia mazingira yalimsababisha ateleze! Majibu yenu ni muhimu sana ili niwake kisa cha kweli cha tukio hili!

Jiandaeni kwa hadithi hii ya kweli kabla ya mwaka kuisha!mjue adhabu ambayo mwanamke mwenzenu aliitoa na mhukumu kama ni sahihi, inatosha au imepitiliza!Safari hii nitawaomba na wanaume wapime kama mwanaume mwenzao alitendewa haki!na kama ingekuwa wao wangechukua hatua gani baada ya dhabu hii!
 
Asamehewi mtu, nabeba ndundu zangu tutakuna mahakamani nijue vipi ataleta matumizi ya mtoto. Hiyo samehe samehe inafanyika kuonekana kucheat its OK thing.
 
asamehewi mtu, nabeba ndundu zangu tutakuna mahakamani nijue vipi ataleta matumizi ya mtoto. Hiyo samehe samehe inafanyika kuonekana kucheat its ok thing.
unadhani itakupunguzia maumivu kama kweli ulikuwa unampenda!cha msingi c amejutia kosa!unadhani atalirudia tena!lakini bado ni maamuzi ya magumu tu na mema kuliko kulipa kisasi kama bibi.com
 
si mbaya saana maana mashemeji wa siku hizi huwa chanzo cha matatizo ongea na ndugu zako namna ya kuishi hapo home ila kwa hili kupunguza jazba tu! kujipanga upya maana bwana mkubwa hili ni pigo kwake hawezi kurudia tena na maisha yaendelee
 
[samehe ila ujue hataacha hiyo tabia.


QUOTE=MTENDAHAKI;3616538]Wanajamii hasa wanawake nataka kupata maoni yenu juu ya adhabu ambayo utampa mume0 ikiwa "kateleza" katembea na mdogo wako wa tumbo moja baba mbalimbali ukiwa mjamzito karibu na kujifungua!ukajua kwa mdogo mtu kukurpuka na kukwambia! Lakini mumeo amejutia akatubu kwa kukubembeleza na kukwambia mazingira yalimsababisha ateleze! Majibu yenu ni muhimu sana ili niwake kisa cha kweli cha tukio hili![/QUOTE]
 
Sijui kama kuna mtu atakupa solutions ya hii situation.Itategemea na wewe mwenyewe,mumeo unamjua wewe,kama alishakufanyia vitu vya ajabu ajabu kabla ya hilo,je unamwamini kweli?ni mtu wa aina gani kwako kama mumeo?Mnapendana kweli?Je ni kosa lake la kwanza?Unamtegemea kwa kiasi gani katika maisha yako?Je mna familia yaani watoto and what is the best for the child/children.

Ukishapata majibu ya maswali hayo ndio unatafuta mtu/watu unaowaamini unaongea nao then unaongea na mumeo.Usije ukakurupuka tu bila kutafakari kwa busara na kupata ushauri rasmi sio kama ushauri wa humu JF.It is too general kuja hapa.
 
mimi nasamehe tu
ila cha moto atakiona atahama huko ndani mwenyewe

Smile bwana wewe ni mkristo naamini(hata kama ni mwislamu) ukamua kusamehe basi unasamehe bana.Ila this time am impressed with kusamehe.Thanks again kwa kusamehe
 
Asamehewi mtu, nabeba ndundu zangu tutakuna mahakamani nijue vipi ataleta matumizi ya mtoto. Hiyo samehe samehe inafanyika kuonekana kucheat its OK thing.

MadameX,temea mate chini kupeleka matrimonial issues mahakamani,kama unaweza kuyamaliza wenyewe kwa kushikisha wazee fanya hivyo.Unless you got no options
 
kwani yeye aliruhusiwa na nani? akikataa nitamjibu i know hw to get them!

Hiyo haitakuwa suluhisho la matatizo yenu.kikubwa hapo ni kukaa wewe na mumeo na kuongelea hilo tatizo.na kama mumeo kajutia alicho kifanya hunabudi kusamehe kwani hakuna aliyemtimilifu kwa sisi binadamu.
 
yikes!!!!!!!!!! hapa ni soo kwa kweli hivi kuwa na mimba ndiosababu ya mtu kutembea na mwanamke mwingine tena mdogo wangu jamani shame shame shame je kama nimelazwa hospital miezi kadhaa si atatafuta mpaka my own mother this is unacceptable totaly.
 
Back
Top Bottom