Amemkuta mpenzi kona na mtu mwingine……………! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amemkuta mpenzi kona na mtu mwingine……………!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtambuzi, Apr 3, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Picha haihusiani na habari hii................

  Hebu tuchukulie kwamba, uko kwenye mizunguko yako mahali fulani kwenye mji unamoishi. Mara unamwona mumeo au mkeo, au inawezekana ni mpenzi wako akiwa amekaa na mwanamke au mwanaume mwingine mahali kwenye Mghahawa wanakunywa au kula chakula huku wakiongea kwa bashasha. Huyu mwanaume mwingine au mwanamke humjui.

  Je ungefanya kitu gani?
   
 2. serio

  serio JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  ningemkaushia..ila ningehakikisha kajua nimemuona
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo ungejifanya kwenda kuwasalimia...............Au?
   
 4. T

  The Eagle Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mme,mke au mpenzi naamini ana (ma)rafiki wa jinsia tofauti.maadam ni kukaa,kunywa na kuongea kwa bashasha is not a big deal lbda km ingekua ni mambo mengine ya kimahaba zaidi.
   
 5. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  bana kwenye strategic angle then mpigie call muulize yuko wapi, yuko na nani na anafanya nini... cheki majibu na reaction yake; kama kadanganya, mzukie umuumbue
   
 6. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  We kweli kiboko...........................!
   
 7. stive urio

  stive urio Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nakausha 2
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  You just have to say hi and leave:crying:
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Nazimia,wanaita ambulensi.
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Halafu ukirejewa na fahamu unafanya nini hapo.....................
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  Mutambuzi....tatizo hapo ni kupima wenzetu kwa vipimo vyetu nikimaanisha ya kuwa ukimfikiria mwenzio atakuwa kwenye matanuzi basi yamaanisha ya kuwa wewe ungelikuwa kwenye mazingira hayo ungelikuwa kwenye matanuzi ya ziada. It is all in you and not them....................We are what we think........
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,852
  Trophy Points: 280
  kwa khali hii utaishia kupata kifaduro na kihoro cha papo kwa hapo. Mikakati ya kumfuatilia mtu ujue hailipi kamwe....huwezi kumchunga mwanadamu kama kondoo.........
   
 13. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Ntamuuliza yuko wapi kwa simu,jibu lake ndo litanipa go ahead
   
 14. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nitaaply hii ya Cartura.
   
 15. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  It all about trust,if you don't trust your partner you will end up getting dozens of questions out of one answer...trust.
   
 16. O

  Obinna Senior Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Just hi and leave! mwenyewe atajishtukia kama alikuwa anacheat au lah kama ni friend wa kawaida atakuja kukupa maelezo baadae.
   
 17. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hiyo umeibilizia, nataka ueleze kama ni wewe utafanya nini?
  Ukome kuibilizia.............LOL
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  njia ya haraka na ya uhakika ni kumtwangia simu, akikudanganya we nenda kaketi meza ya jirani na yeye ambapo lazma akuone ila usimsemeshe lolote,
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Nawapungia mkono ...
  Then nakata zangu kona..
  Ila watu wanavyojua kujitetea
  ataanza ooh huyu ni mtoto wa nyanya yangu nilikutana nae ghafla tukaona tupate vinywaji kidogo
   
 20. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hi..... :yo:
   
Loading...