Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

As my first time to post am a man, Looking for lovely beautfull woman of 20-28 years from any tribe or religion, who is having real love to share her life with me! for the days of our life!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
TUMEANDAMANA NA KINA MAMA KWENDA MSIBANI........ HAPO NJIANI TUNA CHEKA NA KUTIA STORI KAMA HAKUNA MSIBA...... ILE KUFIKA MSIBANI SASA....... HEKA HEKA KWA VILIO WANAJIGALAGAZA NA KUJITUPA...
2 Reactions
68 Replies
7K Views
Jamani kuna malalamiko miongoni mwa wanaume waliooa wanawake wafanyakazi kuhusu mchango wa mishahara yao ktk matumizi ya familia. Nina marafiki wangu kadhaa (waliooa wake wafanyakazi) wote wanadai...
2 Reactions
74 Replies
7K Views
Jamani naomba msaada juu ya hili Kuna watu wanajiita wachungaji/manabii ambao maombi yao siku zote yanalenga kuondoa mapepo,kuondoa mikosi,kuhusisha kila tatizo la kiafya na shetani/mapepo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
I love you!I love you so much wanajamii!Have a good time
2 Reactions
37 Replies
45K Views
Wakuu niko chuo kikuu ninasoma na dada fulani ambaye nimekuwa nikimpenda sana!wiki iliyopita nikamwambia nina mazungumzo na yeye akaniambia yuko bizze kidogo na akawa ameniambia tukutane ijumaa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
age 19-25 email-puravidaseranos@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
898 Views
Ndugu zangu wapendwa,niko mbali na familia yangu kutokana na shughuli za kikazi,mke wangu yupo nyumbani pamoja na watoto wangu 2 ,shemeji zangu wa kike na wakiume,nilikuwa home kwa pasaka,so...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nina umri wa miaka 26 natafuta mchumba mwenye miaka kati ya 18-25.Awe Moro au Dar.Aliyetayari anicontact kwa joseph.johaness@yahoo.com au ni PM
0 Reactions
2 Replies
845 Views
habari zenu na poleni na majukumu ya kila siku ya kujenga na kubomoa taifa hili la mdanganyika. swali langu ni kama ifuatavyo:- kuna misiba mingi ambayo imetokea na hao wafu kwa namna moja au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Enzi za Mwalimu ilikuwa ukimtaka demu inakubidi uandike barua uchore na maua mazuri afu unampatia rafiki yake (baada ya kununulia fanta) ampelekee. Kuanzia hapo kazi ishakuwa rahisi, mkikutana...
0 Reactions
52 Replies
15K Views
Wataalamu wa saikolojia wanalielezea tatizo hili kama tatizo la kiakili. Mtu mwenye tatizo au ugonjwa huu huwa anashindwa kujizuia au kuzuia kishawishi kitokacho ndani mwake cha kuiba, tatizo hili...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Baada ya makuzi mema yanayopingana na mfumo dume sasa ni wakati wa kuuangalia upande wa pili wa shilingi. Kwanza kabisa tafsiri ya neno patriarchy ambalo wanaharakati wa jinsia wanadai ni mfumo...
3 Reactions
188 Replies
13K Views
za asubuh jaman, kunajambo nalo linautata etii my ex boyfrend niliamua kuachana nae coz halikua ananichukulia poa sasa baada ya miaka miwil kupita eti anakuja anasema ananihitaj niwe mpenz wake...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nasikia tetesi mitaa ya sinza,,kwamba marehemu alikuwa anakula mzigo bafuni ghafla ndo simu ya Lulu ikaita chumbani,,baada ya lulu kustop kwenda kuikimbilia simu yake,,marehemu the great naye...
1 Reactions
54 Replies
15K Views
Ndugu zangu hiv hii imekaaje Mpenzi/mke wako kuzimia kwenye msiba wa jamaa flan jirani!
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Dear JF members I thought I know women believe me now I'm back to squre one, I think I hardly no women to be honesty if you think you know them you must be telling lies to your self. I'm not...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani wana JF,Japo mtasema ni umbea ila ndo hvo tena. Jana Jumatatu majira ya saa 9 alasiri,nimemshuhudia baba wa rafiki yangu kipenzi,ameshikwa kiuno na dume mwenzie wanaingia The A***UM...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Hivi karibuni nilimsindikiza mfanyakazi mwenzangu kwenye sherehe ya miaka 5 ya ndoa ya rafiki wa karibu wa mumewe sababu mumewe alisafiri hakweza kuhudhuria hivyo tukaenda wote.Sherehe ilikuwa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Naitw Peter wa masomoni dodoma!Najitokeza kwa dhamira ya kweli kbs ya kutfuta msichana ambaye ndani ya mwaka mmoja atakw tayr kuoana nami!wana jf niko serious kbs.awe na sifa zifuatazo; 1.umri...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…