Kumbe ubabe wa mwanaume unaweza kumbadilisha msichana akawa mke mwema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe ubabe wa mwanaume unaweza kumbadilisha msichana akawa mke mwema

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nonino, Apr 11, 2012.

 1. nonino

  nonino Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi karibuni nilimsindikiza mfanyakazi mwenzangu kwenye sherehe ya miaka 5 ya ndoa ya rafiki wa karibu wa mumewe sababu mumewe alisafiri hakweza kuhudhuria hivyo tukaenda wote.Sherehe ilikuwa safi,walipendeza walikuwa wanandoa wenye furaha,baada ya hapo ktk maongezi hy mfanyakazi mwenzangu akanihadithia historia ya hawa wanandoa walivyokutana.

  Walikutana UDSM,huyu mke mwema kwa sasa tufanye anaitwa XX,alikuwa chuoni ni balaa,kwa uzuri analipa na pia alikuwa kipanga fulani hivi,ila tabia kidogo alikuwa hajatulia,yeye na marafiki zake waliitwa kunguru wa zenji.Mume wa XX alikuwa kati wa wavulana wanaobabaikiwa UD,sasa jamaa nasikia kuna siku akawaambia wenzie mie yule mtoto nataka nimpitie yaani kumuonja,hii ndio ilikuwa nia yake sio kuwa na relation naye.

  Basi jamaa akamtokea, sk ikafika akamuonja kweli lakini jamaa baadaye akagundua XX pamoja na kuwa utulivu zero alikuwa tofauti sn na wasichana wengine,kwanza alipoenda kumtokea si unajua tena wanaume mlivyo na mashairi kibao mnajua mnavyotuambiaga,XX akwamwambia aje stop making a fool of urself najua wasichana kibao uliowaambia maneno kama hayo,na baada ya kuwaonja ukawabwaga,if u want sex,im in here is my number give me a call.

  Pia wasichana wengi aliokuwa amewaonja onja walikuwa wanajua sana jamaa anapita hamaanisha lakini wao wanamngangania pamoja na kujua wako wengi;na kile kitabia mara naomba vocha,mara tukutane lunch nk jamaa pesa alikuwa nazo.Sasa jamaa alivyomaliza kumuonja kama anavofanyaga kwa wasichana wengine akampa XX hela,binti akakataa kuchukua,basi baada ya hapo XX akawa anaendelea na mambo yake hakumfatafata jamaa km alivokuwa ametegemea wakionana binti anampa hi basi,jamaa kumbe sk ile alinogewa,Siku nyingi akamuomba wakaonjane tena wakaenda, jamaa huduma aliyopewa na XX ikamchanganya sio jamaa akatoa hela ya kutosha ampe binti,XX nasikia alichukia,jamaa akamuuliza kwani tatizo nn? akamjibu kwa nini unanipa hela? jamaa akamjibu sababu nimekuonja maana nasikia wasichana usipopewa chochote baada ya kufanyiwa hivyo mnakasirika.XX akwambia kwa hiyo unanilipa,u just keep ur money maana mimi huwa siuzi nimekubali nimelala na wewe sababu tu nilikuwa na hamu na hicho kitu na si vinginevyo.

  Basi wakawa wakiwa na hamu wanakutana wanaonjana baada ya hapo kila mtu anaendelea biz zake,jamaa akaanza kuvutiwa na XX,walipokuwa mwaka wa mwisho jamaa akawa ameshafatilia full background ya XX,kumbe mapepe alikuwa anafanya chuoni,akiwa kwao ni full adabu maana wazazi wake ni wakali balaa.Jamaa akawaambia wenzie jamani mi XX nimeshaanza kumpenda sasa nataka nimfanye awe wangu peke yangu,marafiki zake wakamcheka sana.Basi jamaa akaanza kuwa serious kumtaka XX awe girl friend wake ,binti akawa hataki jamaa akazidi kufatilia mwishowe XX akamwambia nitajaribu ,basi baada ya kumaliza chuo wakawa kwenye relation boy/girlfriend, XX baada ya kupata kazi akawa ameondoka kwa wazazi wake anajitegemea huku akiendelea na double identity.

  Jamaa yeye alikuawa ameshabadilika mambo ya kuonja onja binti za watu aliachana nayo,akawa ameshampenda XX vibaya,ikabidi jamaa awe mkali ili XX naye abadilike,jamaa akawa anamcontrol XX kuanzia mavazi,kwenda viwanja na mambo mengine yote aliyo ona hayafai,akiona somo alijaheleweka mkono ulikuwa unatumika,naskia mpaka XX alibadilika watu wote walikuwa wanashangaa,jamaa akachumbia ,akaoa kabisa .Na watu wa karibu wanakiri kweli ndoa yao iko vizuri sana ,XX amekuwa mke mwema huwezi amini.

  Najiuliza kitu kimoja bado,hivi ni kweli XX alibadilika kutokana na ubabe wa jamaa au ni yeye mwenyewe tu,baada ya labda baada ya kukua akaona mambo yasiyofaa aachane nayo.Naombeni maoni yenu.
   
 2. D

  Donell Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 50
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ubabe wa mumewe unawezekana ulichangia XX abadilike lakini mi naamini zaidi kilichokuja kumbadilisha ni upendo,kati yao wawili
   
 3. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  A bit longer! XX'aliamua kubadirika!
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kastory kaswiiti !
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  XX hakubadilika, alilelewa katika misingi mizuri, akaamua kupinda chuo kwa hiari labda kufidia akivyokuwa kabanwa home.

  kOSA KuBWA, kuoa/kuolewa ukidhani utambadilisha mwenza, beba mtu ambaya unajua mapungufu yake na umekubali kuishi nayo.
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa namfahamu amembana wake hivo hvo,anapewa kichapo na hajaolewa bado,binti akisema tuachane bado nayo ni kosa anapewa kichapo....mdada wa watu hajaolewa lakini hana ujanja wa kuacha relationship mana atachapwa...anaishi tu bila furaha..........pia kuna madhara ya kuchapa
   
 7. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huwezi mulazimisha ng'ombe kunywa maji ndg, hao walipendana ndo maana huyo dada akaamua kubadilika na ubabe hauwezi kumbadilisha mtu tabia bali mtu atabadili tabia yake mwenyewe atakapoamua kuachana na hiyo tabia.
   
 8. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unaweza kumbadilisha kama kweli unampenda kwa dhati, na yeye hadi kufikia hatua ya kubadilika, anakuwa kweli anakupenda kwa dhati. So it depend, usije oa au kuolewa kwa kudhani unaweza kumbadilisha mwenza weko....siyo kila tabia inaweza kubadilishwa......take care....
   
 9. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu huyo jamaa atakuja kupata shida huko mbele sbb huyo mdada atakuwa hana upendo wa dhati kwa huyo mkaka bali amekuwa mwoga na hawezi fanya maamuzi na itakuja kufikia hatua atamzoea na atamuona wa kawaida sa hapo ndo kibao kitamgeukia huyo mkaka, huzo mkaka anachotakiwa kujua ni kuwa mapenz ya kweli hayalazimishwi bali ni makubaliano kati ya wawili wapendanao.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kila mtu ana vitu anavyotafuta kwenye relationship. May be huyo dada alihitaji a manly figure, mtu ambae can lead the way. Na huo unaoita ubabe wengine wanaita attention, kitu kinachopendwa na wanawake wengi pia. Thus huyo dada akajikuta ka-fall kiukweli.
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  wameishi miaka 3 kama wapenzi na msichana hana namna,we unadhani zaidi ya hapo atamzoea jamaa?
   
 12. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  I love you King'asti, you're always smart.
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mnapata wapi muda wa kutunga hzi hadithi nyie?
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huyo dada aliamua mwenyewe kubadilika kwakua amemkubali mkaka. Kama angekua hapendi/hataki "ubabe" wake usingekua unawaita mke na mume sasa hivi. Kwahiyo inawezekana huo "ubabe" umesaidia kumwonyesha mdada kua huyu mwanaume ni anaweza kumuendesha (kuwa mwanaume anaeweza toa amri n.k) kitu anbacho anapendelea.
   
 15. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  inawezekana alimbadili lakin pia yawezekana mdada alijitambua na kubadilia na pia aliona umuhimu wa uwepo wa mwenzake
   
 16. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Yani hapa tunashare same stori na huyo jamaa,kalikuwa kidato cha tatu kipindi hicho yani sehemu ya makofi mi sikawizi ila saiv katuliia na tunaheshimiana mbaya,tunasubibia ndoa tu mpaka mitaani wananiulizaga ni limbwata gani nilimpa
   
 17. S

  SI unit JF-Expert Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ..samahan sijui nilikuona wapi, kny tv eti eeh.. Hope we ni mtangazaji..lol
   
Loading...