Natafuta msichana wa kuoa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta msichana wa kuoa!

Discussion in 'Love Connect' started by Dik, Apr 12, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Naitw Peter wa masomoni dodoma!Najitokeza kwa dhamira ya kweli kbs ya kutfuta msichana ambaye ndani ya mwaka mmoja atakw tayr kuoana nami!wana jf niko serious kbs.awe na sifa zifuatazo;
  1.umri 22-23
  2.majikunde/mweupe
  3.mkristo mcha Mungu
  4.elimu kuanzia f4
  awe na tabia njema
  awe na kimo cha wastani.naomba uniandikie kupitia andrew.1985@yahoo.com.asante.tafadhal km huna nia toka moyon usitanie wala kutukana
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  wee ni mafia?

  id yako dik, unaitwa Peter, email andrew, duh!

  Afu Id yako inaogopesha kutamka gizani hasa kama mnaongea kiinglish.
   
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hahahah! Msaidie basi kutafuta msichana wa kuoa!
   
 4. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 762
  Trophy Points: 280
  Me niko tayari, ILA sipendi mapenzi ya kuulizana ulizana mara uko wapi muda huu, uko na nani, kushikiana simu, kusoma meseji, kujua nani ka call, kuninyang'anya simu n.k.... in short sipendi yale mapenzi ya kubanana kama inzi had uhuru binafsi unakosekana! sipendi mapenzi ya KIKANUMBA hadi kufikia hatua ya kufight.....ehe unasemaje hapo?
   
 5. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mmmmhhh, Kongosho we nae! lolest
  Mbona hujamwambia Dick Sheney hivo?
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  mke mwema anatoka kwa bwana siyo JF
   
 7. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa limitation hizi sijui kama utapata mume, laba kwangu ambaye nataka kuongeza wa pili, uko tayari pia???
   
 8. sister

  sister JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,028
  Likes Received: 3,936
  Trophy Points: 280
  ni kweli mke mwema anatoka kwa mungu ila watu wanakutana in different way so ukute mke wake atampata uku but amshirikishe mungu katika hilo pia.
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Mke mwema anatoka kwa Bwana thru/via JF
   
 10. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Nakuunga MKONO,MGUU NA UTUMBO.
  Kupitia kwa Bwana VIA JF!
   
 11. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  All the best, broda.BUT usijifunge sana angalia pia nyuma yako, mbele, kulia na kushoto may be she is there too!
   
 12. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wema kabaki mpweke vp atakufaa maana kanumba amemuacha rasmi! kwa lulu sikushauri kwani atakukanumba
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Spelling na Pronunciation zinafanana?

   
Loading...