Je Kanumba alifanya mapenzi kabla ya kifo chake?

Simple

JF-Expert Member
Feb 6, 2009
249
121
Nasikia tetesi mitaa ya sinza,,kwamba marehemu alikuwa anakula mzigo bafuni ghafla ndo simu ya Lulu ikaita chumbani,,baada ya lulu kustop kwenda kuikimbilia simu yake,,marehemu the great naye akamuungia kumfuata,,bahati mbaya akateleza akitokea bafuni na kuanguka,,,,wapo wanaodai wakati daktari anafika marehemu alikuwa mtupu..

Haya basi tuwaachie mapolisi wetu wa kibongo waendeshe hii movie.

RIP The Great
 
Inawezekana,c mnajua nyie mkinywa nyagi then una chombo pembeni huwa hamrembi.
Mimi naamini,tena Mtoto mwenyewe Lulu alivyo mbichi,utamfaidijeee!
 
mimi nimeshaona ndo maana natoa ushuhuda
Nashangaa matambiko siku hzi kuitwa ibada.
.................muulizeni mdogo wake............
 
Sasa haya yote ya nini ilihali mtu keshakufa? Mnataka mfanye nayo nini? Hivi hatuna kabisa mambo mengine ya kujadili hadi tubaki kusema hayohayo tu katika muundo tofautitofauti?
wewe kama hautaki kusikia habari hizi kwanini umeingia kwenye huu uzi? acha tuendelee kujifariji bana, we wawapi? hovyoo
 
wonders shall never end.... watu ni wambea sana bora amezikwa salama.. maisha yaendelee. Another CD pliz ..sijui inafuata ya ishu za ubunge arusha haya what ever it is.. Maana hizi tetesi zimezid. loooooooooooooo ubinadamu kazi kweli
 
Sasa haya yote ya nini ilihali mtu keshakufa? Mnataka mfanye nayo nini? Hivi hatuna kabisa mambo mengine ya kujadili hadi tubaki kusema hayohayo tu katika muundo tofautitofauti?

Post basi hayo mambo mengine tuchangie, halafu waandikie wenye wahariri wa habari na maredio na tv pia waache kumuongelea the great.(est)mbona unashoboka mzee
 
Nasikia tetesi mitaa ya sinza,,kwamba marehemu alikuwa anakula mzigo bafuni ghafla ndo simu ya Lulu ikaita chumbani,,baada ya lulu kustop kwenda kuikimbilia simu yake,,marehemu the great naye akamuungia kumfuata,,bahati mbaya akateleza akitokea bafuni na kuanguka,,,,wapo wanaodai wakati daktari anafika marehemu alikuwa mtupu..

Haya basi tuwaachie mapolisi wetu wa kibongo waendeshe hii movie.

RIP The Great

ndio mana kuna mahali nimewashauri wajasiriamali wamshawishi lulu akubali kuandika kitabu cha uhusiano wake na the great afunguke asifiche kitu chochote atakua milionea na filamu basi tena,hii yote ni shauku ya watu kutaka kujua zaidi ndio mana ya tetesi kila kukicha
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom