wachungaji/manabii wanaoona mapepo tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wachungaji/manabii wanaoona mapepo tu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by greatrwega61, Apr 12, 2012.

 1. g

  greatrwega61 New Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba msaada juu ya hili
  Kuna watu wanajiita wachungaji/manabii ambao maombi yao siku zote yanalenga kuondoa mapepo,kuondoa mikosi,kuhusisha kila tatizo la kiafya na shetani/mapepo matokeo yake jamii imechanganyikiwa na kusambaratika kiimani,imani za awali zinayumba na waumini wanaongezeka kwa kuona wenzao waliotangulia wanavyofaidi huduma hii,naombeni mchango wa mawazo tunaelekea wapi katika hili!
   
 2. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mafelia siku zote hupenda kusema matatizo yetu huletwa na bahati mbaya/mikosi/shetani - Wakati ukiangalia kiukweli ni kuwa kuna sababu ambayo unaweza kui trace kwa kila balaa litokealo; Hao jamaa wamegundua kuwa huo ndo udhaifu mkubwa wa kondoo watoaji wa fungu la kumi - Ukichukulia kuwa wako kibiznes zaid
   
 3. M

  MORIA JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Marko16:17-18 nanukuu; na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio,kwa JINA langu watatoa pepo,watasema kwa lugha mpya,18 watashika nyoka,hata wakinywa kitu cha kufisha,hakitawadhuru kabisa,wataweka mikono juu ya wagonjwa,nao watapata afya....kama dini yako inaona pepo ni kawaida...Ukristo pepo ni laana,utumwa na tena ni UCHAFU..
   
 4. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  .... kaze kweli kweli, mie nadhani ni biashara, wajasiriamali wengi sana kutokana na ugumu wa maisha. wakumbuka gharika ya loliondo, wakaibuka wajomba na mashangazi na wao wanagawa vikombe, waungwana wakapanga foleni. Pia wengi wetu hatuamini mafanikio yetu binafsi yanatokana na jitihada binafsi kwanza, watu waamini nguvu za giza zaidi kwenye kukwamisha maendeleo na kuleta maendeleo
   
 5. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,642
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Wajinga ndiyo waliwao!!
   
 6. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hata shetani alibatizwa anaujua ukweli na anautumia kuwadanganya ili awaangushe mumsindikize moton, kumbuka alipoasi alitupwa pamoja na malaika waovu ambao ni malini wanaotumiwa na mawakala wa shetani yaani wana wakuasi waujuao ukweli ila wameamua kumtumikia shetani wakiwemo hao manabii wauongo wanafanya kazi kwa nguvu za kuzimu /majin wanayapandikiza na kujifanya kuwaombea na kuyatoa kwa miujiza yakishetani ndo maana mikutano mingi na makanisa yametekwa na wimbi hili na kwakuwa sisi hupenda miujiza tunakamatwa kirahs tuwe makini na dini zetu na viongozi wetu wa dini. Utawatambuaje?
  Ni kwakuyachunguza mafundisho yao na kuwatazama matendo yao maana unapoitazama boriti ya mwenzio wakat yako hujaitoa n uongo, unapozikata sheria na kumkubali Mungu unadanganya kwasababu Yesu alisema ukimpenda upende na sheria zake.
   
 7. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  time will tell ila nachojua mateso huwa yana part katika ukombozi, sasa unapotaka kuyakimbia sijui huwa ni uoga au ninini, abt mapepo, sidhani kama ni mengi kihiivyo coz jesus alisema "awezaje mtu kuingia kwa yule mwenye nguvu sipomfunga huyo kwanza? "so alimshinda shetani b4!! hebu jiulize hayo mapepo mengi ni africa tu? inawezekana yapo, lakini sio kwa rate hiyo tunayoiona
   
Loading...