Mpenzi wako/mke anapozimia katika msiba

Kiyoya

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,646
820
Ndugu zangu hiv hii imekaaje Mpenzi/mke wako kuzimia kwenye msiba wa jamaa flan jirani!
 
  • Thanks
Reactions: b2k
Sasa kama kafiwa na ndugu yake kama baba,mama,dada kaka kuna tatizo gani yeye akizimia?au wewe unamaanisha nini mkuu?funguka tena basi!
 
Haijakaa sawa. Mimi mwenyewe nlikuwa najiuliza. Ndugu wa karibu wa marehemu tu wako ngangari. Sasa hawa wazimiaji yawezekana walikuwa promoted katika promotion ya promoter kama Lulu. Kisiri siri. That is if marehemu alikuwa promoter. Kama alikuwa producer wa movie basi watakuwa walikuwa wanakuwa produced katika production ya producer. Kama Chuzi vile maana nasikika ndo zao.

mbona kisha sema jamaa fulan wa jirani!?sasa wewe huu mlolongo wa ndugu umeutoa wapi??
 
Haijakaa sawa. Mimi mwenyewe nlikuwa najiuliza. Ndugu wa karibu wa marehemu tu wako ngangari. Sasa hawa wazimiaji yawezekana walikuwa promoted katika promotion ya promoter kama Lulu. Kisiri siri. That is if marehemu alikuwa promoter. Kama alikuwa producer wa movie basi watakuwa walikuwa wanakuwa produced katika production ya producer. Kama Chuzi vile maana nasikika ndo zao.

wewe ndo nini unapotea hivyo?????
john dumelo alikuficha wapi?lol
halafu kama una link ya 'breaking the rules'....ya john dumelo nipe nimpe mtu...

back to topic
watu eti wanazimia mara sita kweli hiiyo si maigizo?
eti wema na uwoya wazimia mara kadhaa kwenye camera
while mama kanumba hajazimia....lol
 
Hawa viumbe sometimes ni "kaole" wazuri sana. "Anazimia" lakini few minutes later ni vicheko as if sio yeye alikuwa hajiwezi...
 
Kwenye msiba watu wanazimia kwa mengi. Si ajabu amekumbuka machungu yake ya kufiwa hapo kabla.
 
wewe ndo nini unapotea hivyo?????
john dumelo alikuficha wapi?lol
halafu kama una link ya 'breaking the rules'....ya john dumelo nipe nimpe mtu...

back to topic
watu eti wanazimia mara sita kweli hiiyo si maigizo?
eti wema na uwoya wazimia mara kadhaa kwenye camera
while mama kanumba hajazimia....lol

W ema alishasema anapenda attention .
Huyo uwoya sijui ni kitu gani ?
 
My wife akizimia kwnye msiba wa msela akirudi nyumbani anakuta talaka mlangoni.
 
big security breach...labda uchakachuzi ulikua unaendelea behind my back
 
Back
Top Bottom