Ivi kutongoza huwa wanaanzaje?

Mlitika

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
457
260
Enzi za Mwalimu ilikuwa ukimtaka demu inakubidi uandike barua uchore na maua mazuri afu unampatia rafiki yake (baada ya kununulia fanta) ampelekee. Kuanzia hapo kazi ishakuwa rahisi, mkikutana unaliza tu: "Majibu yangu lini?"

Kwenye hii doti komu jeneresheni tasnia hii ya utongozaji imekaaje? Kwenu wadau.
 
Wanaanza hivi... "Aisee dadah! Aisee dadah! Moyo wangu umekudondokea... Naomba tuchanganye mate na tubambanishe vikojoleo"
 
Wanaanza hivi... "Aisee dadah! Aisee dadah! Moyo wangu umekudondokea... Naomba tuchanganye mate na tubambanishe vikojoleo"

tangu msiba utokee cjakupata hapa,
asante kwa kuni0ndolea stres kwa kicheko,
VIKOJOLEO?
 
simple tu.......
Namwambia 'nimekutamani nataka tukalale'
au 'nimekupenda kuwa wangu.....'
 
Back
Top Bottom