Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Inasikitisha sana lakini ukweli ni kwamba hili limetokea leo mjini dodoma. Mmaasai mmoja kamuua mwenzake kwa sime. Chanzo cha ugomvi ni ugomvi wa hao wamaasai wakigombea mwanamke ambaye alikuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kabila langu ni mchagga natafuta mwanamke wa kuoa awe kati ya miaka 22-25 awe na elimu ya chuo, awe mkisto anayemjua Mungu.Kwa yoyote yule ambaye anadhani...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani wanaume wengi wanalalamika kuhusu tabia ya baadhi ya wanawake ya kutotaka kuishi na ndugu wa upande wa mwanaume. Wengi wa wanawake wa jinsi hii wanapenda tu wakae na ndugu zao, lakini siyo...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Fikiria wewe ni binti (au mzazi wa binti) ambaye unataka/ anataka kuolewa na mwanaume ambaye hajasoma (illiterate) utakubali? Hebu tujadili wanajamvi... kama utakubali ni kwanini??? na kama...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Darling....... tulifahamiana kupitia mtu niliyefahamiana naye kupitia humu mmu,hivyo kupitia ukurasa huu nichukue fursa hii kukupa pole sana kwa ndoa yako kuvunjika na kwa maumivu ya mwili...
11 Reactions
135 Replies
10K Views
Mm n mwanaume mwenye umri wa miaka 30 natafuta mwanamke mwenye umri wa miaka 35 na kuendelea ila awe mnene mrefu na mimi nh mrefu mwembamba kama atapatkana na atakua serious antafute kupitia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi to all, kwa kufupisha: ivi wanawake jamani mnataka wanaume tuweje/tuwafanyie nini ili muweze kuamini mnapendwa kweli?? kwa wanawake na wanaume wenye kujua siri ya mafanikio..welcome,
0 Reactions
20 Replies
2K Views
wakuu!baba yangu mpendwa Mzee Chizenga amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu!1933-2012!upumzike kwa amani baba yangu!
0 Reactions
97 Replies
7K Views
Nataka kumtafuta princes wa price john gelas.mweupe,mwenye nywele ndefu,aliyejazia wowowo na acyependa pesa pia chuchu saa 6 kamili usiku.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Hi JF: Natafuta rafiki wakike ambaye baadaye atakuwa mkewangu. Sifa: 1.Mkristo. 2. Age range from 24-28 yrs old. 3. Husiwe ushatowa mimba. 3. Huwe na upendo wa dhati. 4. Education level...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Dear brothers and sisters. Asalam alaikum. Since we are one big family I just wanted to drop a line to share good news with you, Alhamdullilah my beautiful wife gave birth to a beautiful...
23 Reactions
93 Replies
6K Views
Kuna mambo ambayo mpaka sasa nashindwa kujua nfanyeje...jaman mliooa au mnaolijua hili nambieni, kuna umuhimu wa kuoa mke uliyemzidi umri?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu,ivi ktk mapenz nani anaetakiwa kuanza kumpigia simu mwenzie?maana me jana tu cjapga cmu,leo nimenuniwa balaa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jaman kuna ulazimaa kuoa mke uliyemzidi umri?
0 Reactions
2 Replies
953 Views
hbar wadau bana naleta hii mada ni wakati gan muafaka wa kumuambia mpnz wako kuwa katika mahusiano yako ya nyuma yalipelekea kuwa na mtoto je ni wakat wa mwanzo wa mapenz au katikati au baada ya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
QUESTION;Why do women live longer life? ANSWER;Shopping never causes heart attacks but paying bills does.
0 Reactions
4 Replies
951 Views
HOTUBA YA UFUNGUZI WA SONGEA GLOBAL NETWORK (SGN) KWENYE UKUMBI WA AGOPAL – SONGEA TAREHE 21/04/2012. Mh. Mwenyekiti, Mh. Katibu Mh. Mhasibu Ndugu Wanamtandao, Ndugu Wageni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii tabia iko kwa wadada sana, ukimboa kwa chochote au kwa lolote lile solution anayoichukua ni kukaa kimya au kupunguza mawasiliano na wewe au atakwambia "tutaongea kesho!". Ukiona hivyo kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kumekuwa na mazungumzo ya kuhusu hawa wajenzi huru (Free mason) ikihusishwa na mafanikio makubwa ya kimaisha. Najua kila mtu anashughulika kila siku ili kupata mafanikio katika maisha yake. Pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kudadaadek........ umri wangu unakaribia miaka 38, sina hata mchumba wala mtoto wa kusingiziwa. Hivi ninaweza kweli kupata patna wa kuoa? nakaribia kukata tamaa. Lakini ni lazima kuoa?. But I...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Back
Top Bottom