Kweli ni maajabu, mtu kwenye relationship anamlalamikia mwenzake kwamba ni predictable, wala hakumbuki kwamba na yeye ana role to play as far as relationship is concerned. Ni Love, kissing...
Nimefanya kauchunguzi kidogo kwa ndugu na rafiki zangu waliooa/olewa. Nimegundua maisha ya ndoa yamegawanyika ktk sehemu kuu 3. Ambazo ni KIZUNGU, KICHINACHINA na KIENYEJI. 1.Kizungu huwa mara tu...
The Power of Words
Watch this and then thank your God for what he gave us without asking. If you dont believe me, ask your parents or ask yourself if they actually asked God for a son/daughter...
jamani wapenda na wadau wote wa JF! Jambo moja hunitatiza! hiv kweli kabisa mtu aweza pata mwenzi wa maisha humu au kupitia JF? mimi na naamini wapo wengine wengi tu kama mimi wanaohitaji wenza...
Kuna namna ambayo ni more suitable kuachana na mtu ambae let say hajakukosea zaidi ya kumweka chini siku moja na kumwambia "mimi na wewe hivi au vile. . . "?!? Yani unataka kumwacha kwa sababu...
Namtafuta binti wa kuoa, nina miaka 29,dini RC,kabila mhaya,elimu kwasasa nasoma masters. Mlengwa,elimu kuanzia diploma,asiwe na mtoto,dini siwe muislamu.Alieye tayari anaweza kuni PM au ani sms...
Kwa watakaohitaji:
Hamster Free Woman CalendarHamster Free Woman Calendar is a simple and user-friendly universal calendar for women. It will help you to avoid an unwanted pregnancy and to choose...
Ilikuwa ni mwaka 1980 katika kiunga kimoja cha jiji la Paris nchini Ufaransa wakati huduma za Posta ziliposimamishwa kwa muda.
Ilikuwaje hadi kufikia hatua hiyo?
Ni pale mtumishi mmoja kwenye...
Kuanzia Marekani mpaka hapa TZ inaonekana
umaarufu 'huharibu' watoto vibaya mno....
ndo maana ni kawaida kusikia watu maarufu wakikataza
watoto wao kujishughulisha na sanaa au michezo au kazi za...
Jana ndio tulifuata majibu hayo kwa ajili ya rafiki yangu
ambaye amechumbia binti wa kizaramo. Majibu hayo yamenisisimua
na kuniacha hoi hasa upande wa mambo ambayo tunatakiwa
kulipia. Haya ndiyo...
Huwa najiuliza, mwenzi wa kwanza kuwa naye katika mahusiano ana nafasi yeyote katika utamaduni wako wa mahusiano?
Ni kweli ana nafasi kubwa ya ku-determine do's and dont's katika mapenzi?
Mfano...
How important is independence in your life?
There are people who dont like to be independent as they consider it difficult. They want to depend their whole
lives on others...
Akiwa nje ya mood anatupa neno moja moja hata kujibu kwake ni kitendawili saa zingine, akiwa ndani ya mood ndo sikukuu inakuwa ndefu na uwingi wa maneno iwe ya kukera ama ya kufurahisha na wakati...
Naombeni ushauri maana kwakweli nashindwa kujishauri kama nisuke au ninyoe.
Miezi michache iliyopita(haifiki mitano) nilikutana na kaka mmoja sehemu yake ya kazi nikiwa napata huduma pale...
Mke wangu ana ujauzito wa miezi mitatu, lakini tangu amekuwa na mimba
amekuwa akiendelea kupata hedhi, Pia anaota anafanya mapenzi na watu tofautitofauti kila siku.
Na kuanzia amekuwa mjamzito...