Break up. . . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Break up. . .

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lizzy, Apr 23, 2012.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuna namna ambayo ni more suitable kuachana na mtu ambae let say hajakukosea zaidi ya kumweka chini siku moja na kumwambia "mimi na wewe hivi au vile. . . "?!? Yani unataka kumwacha kwa sababu zako binafsi (umemchoka, humpendi tena, umepata mwingine, umeona mahusiano yenu hayatoenda popote n.k)???!

  Kama ni wewe mwachwaji. .unaprefer kuachwa mara moja (kashajua anakuacha akwambie mara moja) au kuachwa taratibu(anakutafutia pozz la kukuacha hata kwa miezi huku ukijua bado mpo kama kawaida)??! Kwanini?
   
 2. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  There are no easy ways to be dumped..., Ila kwa faida yako na yake the sooner the better unamwambia (its better mmoja wenu kuwa happy kuliko wote wawili kuwa sad, am sure ukijinganganiza kumpenda utamfanyia visa bure) na mwisho wote wawili mtakuwa dissapointed

  Watu wapo tofauti am sure muhusika kwa kumjua mpenzi wake atajua ni vipi amwambie (kama ni mtu wa hasira.., kama ni mtu wa kuchukua uamuzi wa ajabu (mfano kunywa sumu n.k.) ). Hivyo kumwambia ni inevitable ila muhusika ndio anajua mbinu sababu anamjua ex wake
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Jamani hakuna mwanaume anaachwa.
  As for women huwa nina prefer style ya .....killing me softly.......hii husaidia sana kuzuia wasile sumu,na ninaamini kinamama watakuwa wana prefer huu utaratibu maana na wao unawapa fursa ya kujipanga,au kina mama mnaonaje?
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  sun wu,Nihaa?
  baada ya salam hiyo nikwambie hivi: hata siku moja usimwambie mwanamke'kuanzia leo sikutaki tena' unless of course you are courting a disaster ale sumu ulie mikono kichwani.Kuachana inatakiwa iwe mchakato kwa sababu who knows in the process unaweza upate realization kuwa you are wrong na tofauti zenu zinatatulika,afterall who is perfect?
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Byshanga embu fafanua kwa undani "killing me softly" inavyokua.

  Hilo la wanaume naliacha kwa sasa hivi maana nataka point zako.
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ndo maana huwa naprefer tuambiane ukweli from the beggining.... Mnapoingia kwenye mahusiano mwanzoni epukeni mapromise yasiyo na maana
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Byshanga ni NIHAO bana!!

  Nwy. . .hiyo ya kusema mtu asiambiwe straight. . .what if kuna mtu mwingine pembeni? Yani ambae ndo unataka kuwa nae. . .anatakiwa asubiri wakati unam"kill mwanaume/mwanamke mwenzie softly"?!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa ukimwambia taratibu na bado akakutisha kunywa sumu utafanyaje?
   
 10. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Huwezi kumwambia dry kwamba leo ninakuacha.., (inategemea busara zake ila inabidi kumwambia.., )

  Option ya kuanza kumfanyia visa ili akuache (hapo unacreate enemy) wakati kama mgekuwa grown-ups na kuonyesha kwamba kwa sasa inabidi ku-part ways.., unaweza ukampoteza mpenzi lakini ukabaki na rafiki.., ukifanya visa hapo unaweza ukatengeneza uadui.

  Ni kuwa open (kulingana na busara za mtu), Time heals after some time atakusahau ila utabakia an EX (a friend na sio yule bwana mwenye visa, Shetani)
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  unaelewa bana.......unaufahamu wimbo wa Tina Tina wa marehemu mbaraka mwinshehe?.....jamaa alikurupuka kumwacha mwenzie akaishia kuimba...tina tina naomba turudiane...kuachana kunatakiwa kuende taratiiiiiiiibu hadi mwenzio aone kwamba kweli 'akufukuzae hakwambii toka'.
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kuachwa kuna uma sana hasa kwa yule uliye mpenda
   
 13. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Short, sharp, clear and no coming back.
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa Byshanga what if akufukuzae ana mgeni mwingine mlangoni? Aendelee kukuweka ndani wakati mwenzio anang'aa tu macho barazani?
   
 15. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  For his/her sake) unaweza ukakaa nae polepole na kumuonyesha kwamba is it okay mimi kunifunga sababu ya furaha zako ?, Is it okay mimi nikae kwako wakati sipo happy.. (nina uhakika mwisho wa siku atagundua kwamba anachofanya sio busara) His/Her Happiness for your Sadness.

  Kumbuka kuachana kama wapenzi does not mean kwamba sio marafiki tena (hivyo basi utam-treat kama any suicidal friend) sababu kukulazimisha atakuwa anaku-blackmail using your emotions
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kweli Mende... sema wakati mwingine unaweza kuta huyo unayemwacha nae alikua anasubiria muda tu.
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Asante RR. . .me likey!!
   
 18. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  niha ni salam ya kichina,umwewahi kusoma kitabu cha sun tzu (the art of war)? ni kitabu kizuri sana naona mdau su kakiweka kwenye avatar yake.
  hili la kuachana kwani sisi wanaume tukiwa tunaanzisha mahusiano mapya huwa tunaacha ya zamani,huwa ni slow disengagement.
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Asipoonyesha kuelewa je?
  Maana kuna watu wakishajua kwamba hivyo vitisho vinagusa 'weak spot' zako ndo basi tena. Yani atakunyanyasa na hilo tu!!!
   
 20. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  yeah,

  ....yeah, mwombe mketi kujadili jambo muhimu maishani mwenu,kisha kwa wakati muafaka
  mwambie A-Z kwanini umeona mahusiano yenu hayatoenda popote na umeamua muachane.
   
Loading...