Bomu? Kumbe ilikuwa ni upunda……………………!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Ilikuwa ni mwaka 1980 katika kiunga kimoja cha jiji la Paris nchini Ufaransa wakati huduma za Posta ziliposimamishwa kwa muda.

Ilikuwaje hadi kufikia hatua hiyo?

Ni pale mtumishi mmoja kwenye idara ya uchambuzi wa barua na vifurushi alipogundua kwamba kulikuwa na kifurushi kilichokuwa ‘kinapumua.'

Ilibidi mtumishi huyo kutoa taarifa ambapo vyombo vya usalama viliarifiwa kuhusu tukio hilo. Ilibidi huduma za posta hiyo zisimamishwe na wataalamu wa kutegua mabomu kuitwa. Kila mtu alijua wazi kwamba kilichokuwa ndani ya kifurushi hicho lilikuwa ni bomu, nini kingine unadhani kingeweza kuwa humo! Labda tu swali lilikuwa ni aina gani ya bomu na ni nani alilituma na kwa nani.

Lakini lahaula wataalamu hao walipofungua kifurushi hicho kwa hadhari kubwa waligundua kwamba ndani ya kifurushi kulikuwa na chombo maalum kinachofanana na uume kinachotumiwa na wanawake katika kujichua ili kujiridhisha kimapenzi (Vibrator). Chombo hicho kilikuwa kimejiwasha chenyewe katika ile misukosuko ya kusafirishwa.

Kumbuka hiyo ilikuwa ni mwaka 1980, ambapo matumizi ya kifaa hicho huku kwetu lilikuwa ni jambo la kufikirika!
 
nasikiaga huku eti wanatumiaga SIMU ikiwa imewekwa vibration....sijui ni kweli..!!
 
Huwa kuna application inaitwa sex vibrator inapatikana kwa kudownload kutoka internet sana sana simu za nokia huwa zinasuport hii app software mwenzenu huwa naitumia wakati namuandaa shemeji yenu na inamchanganya kweli kweli.TEKNOLOGIA BWANA inatisha.
 
Back
Top Bottom