Sehemu kuu 3 za maisha ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sehemu kuu 3 za maisha ya ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bra-joe, Apr 23, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Nimefanya kauchunguzi kidogo kwa ndugu na rafiki zangu waliooa/olewa. Nimegundua maisha ya ndoa yamegawanyika ktk sehemu kuu 3. Ambazo ni KIZUNGU, KICHINACHINA na KIENYEJI. 1.Kizungu huwa mara tu baada ya ndoa mpaka miezi kadhaa. Mambo yao sasa: mabusu kibao na kuambiana jinsi wanavyopendana, mume akirudi ataulizwa mambo yote ya kazini kwa upole, full out na unyumba kwa sana. 2. Kichinachina: hapa no out, unyumba kwa mbaali, mume akitoka kazini baada ya salamu anaambiwa chakula kipo mezani then no story, ugomvi huzuka mara kwa mara lkn hakuna mtu mwingine atakayejua zaidi yao, hupeana majibu ya mkato na mume huanza kuchelewa kurudi nyumbani. 3. Kienyeji: hapa ni kivumbi cha kufa mtu, ugomvi mpaka majirani wanajua, full kutupiana lawama,"ningejua nisinge kuoa" "ningeolewa na mume bora kuliko wewe", ufikia kipindi kila 1 anaomba mwenzake afe au waachane. Wana ndoa mpooo?
   
 2. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo hadithi yako inatufundisha nini? tusioe au kuolewa.?
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wewe ndoa yako iko katika hatua ipi? Au yako tayari ni ya kienyeji na mwenzi wako anakuombea u-RIP ili apumzike?
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hiyo itakuwa ni experience ya ndoa yako mkuu. Yaani hadi umuombee mwenzako afe, hiyo ni very extreme aisee. Kama ni hivyo si bora muachane kwa amani tu. Maana mkishafikia huko security inakuwa ni ndogo sana.
   
 5. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Haswaa!!!!!!!!!!!! Why keep a cow while you can get milk from others?
   
 6. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  bado sijaoa, hako ni kauchunguzi tu nilikokafanya kwa wanandoa ninaowafahamu.
   
 7. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,366
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Tuuuuu poooooooo!!!!!
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Mkuu ukiambiwa ngono hupelekea kufa kwa magonjwa, hapo ni juu yako kwenye suala zima la mbayuwayu
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  duh . . .
   
 10. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  hapa wengi watanuna. Umepiga kwenye mbavu.
   
 11. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  katika sehemu gani? Kizungu au kienyeji?
   
 12. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  characteristics za hiyo ya kichina china umeconfirm vipi?
   
 13. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kazi ipo hapo ss sie tulioko mbioni kuoa si mnatukatisha tamaa?
   
 14. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Ndoa oyeeee.........?
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ukweli mtupu
  safi mkuu
  wenye ndoa..........................
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  uongo?
   
 17. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii ina ukweli ..., kuna uwezakano wa ku-upgrade hii ya kichinachina kwenda kwenye ya kizungu? Labda kwa kuondoa ubize usio na sababu na kujenga ukaribu baina ya wanandoa?
   
 18. m

  mikest Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Maisha ya ndoa ni wewe mwenyewe unaamu yawe vip! Ishi kama ulivyo, siyo. Mwanzoni mkiwa out unakunywa soda ili umfurahishe mwenzako wakati moyoni unatamani bia. Mimi nina miaka mitano ya ndoa furaha na upendo inazidi kuongezeka.
   
 19. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133


  Aisee!!
   
 20. ENDLESS

  ENDLESS Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  punguza uongo kidogo hakuna ndoa ya namna hiyo kama ni yako sawa kama mmechokana kila mtu anaweza kuendelea na maisha yake na sio kuombeana vifo
   
Loading...