Predictability in relationships - Be responsible for what u feel and want to feel

super thinker

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
370
109
Kweli ni maajabu, mtu kwenye relationship anamlalamikia mwenzake kwamba ni predictable, wala hakumbuki kwamba na yeye ana role to play as far as relationship is concerned. Ni Love, kissing, outing, stories, answers, questions, gifts, suprises..........heeeeeeey, dont sit back, observe and complain, be responsible for what you are feeling and enjoy.:bored:
 
hiyo unayoshangaa ndo inafanya mapenzi kudumu na pia huongeza ladha,

sasa wewe unatakaje, mtu awe available at zero cost kwa kila kitu si atakuboa
 
Kweli ni maajabu, mtu kwenye relationship anamlalamikia mwenzake kwamba ni predictable, wala hakumbuki kwamba na yeye ana role to play as far as relationship is concerned. Ni Love, kissing, outing, stories, answers, questions, gifts, suprises..........heeeeeeey, dont sit back, observe and complain, be responsible for what you are feeling and enjoy.:bored:

Most folks find it easier to whine than take responsibility for whatever happens in their everyday lives.
 
Back
Top Bottom