NIMEKUA NIKIJIULIZA SANA KUHUSU TREND ZA MAHUSIANO YA KIMAPENZI KWA MIAKA YA HIVI KARIBUNI:
Mdada anaweza akawa na boyfriend lakn bado anatoka na mtu mwingine na hata wakikosana si ajabu kuona...
A small congregation in the foothills built a new sanctuary on a piece of land willed to them by a church member. Ten days before the new church was to open, the local building inspector...
mimi ni mtumishi wa umma na mke wangu nimeishi naye miaka 7 na tumezaa mapacha na wengine 2,mama watoto anatabia ya kutoka nje ya ndoa ni kama amelogwa,nikitaka kumuacha nashindwa mana anajituma...
Wapenzi wana mmu najitokeza mara ya kwanza hapa jukwaani nikiwa kama memba baada ta kuingia kama mgeni ka siku nyingi sana.
leo hii kilichonifanya nitamani kuingia humu ni hiki hapa, niko...
Jamani ninaye mpenz wangu, nampenda sana na naamin na yy ananipenda pia. Najitahd kumpenda na kuwa mkweli na muwazi tena pasipokumsaliti ingawa mm na yeye tunaishi mbali kwa zaidi ya kilometa...
Naandika habari hii nikiwa na masikitiko yaliyochanganyikana na hasira zilizopitiliza.Leo asubuhi baada ya kupata kifungua kinywa, nilanza kujiandaa kufua nguo zangu kama mnavyojua leo siku ya...
Umewahi kujiuliza hili
umewahi kujua nan anakupenda nani akupendi..............,hivi kwa nini watu wanafurahia sana
waakati wanapooana lakini wakiwa wanaachana unakuta wengi wanafurahia kimoyo...
Hi,naitwa Sean nipo Dar,napenda kuogelea,kuimba,beach na kusafiri,I am Fun,Charming,easy to get along with&gentle. Nina miaka 27,elimu ya chuo(IFM). Asanteni.
Mimi ni kijana miaka 27 mwajiriwa ktk idara 1 serikalini, vilevile nko mwaka wa mwisho ktk moja ya chuo kikuu hapa mjini. Natafuta rafiki wa kike ambaye atakuja kuwa mwenza wa maisha hapo baadae...
Utakuta mkeo kawaagiza mashosti na ndugu zake anatafuta binti wa kazi wa ndani wakiletwa zaidi ya mmoja anachagua asiye na mvuto kuliko wengine eti ili asije akamuibia mumewe.Yaan hawa viumbe...
Kama unatamani kufanikiwa katika uhusiano wa kijamii, ni muhimu ukakubali ukweli kwamba si kila mtu atakupenda, si kila mtu atavutiwa na ujio wako na hasa kwa mara ya kwanza. Kila mtu anacho...
Mimi Mwanamume mwenye miaka 40, nimeachwa na Mke wangu kwa sababu nimekata kuokoka kwa Mwingira. Natafuta mwanamuke mwenye sifa zifuatazo:
Awe na Umri kati ya miaka 30 na 35.
Awe tayari kuzaa...
eti unakuta wakaka wanatambiana mie tangu nianze mahucano ya kimapenz na mabinti hadi sasa naweza jaza coasta mbili mwingne anasema ww coasta mbili tu mie najaza mohamed trans tatu..,wat z ths?
Kuna kitu kimoja kinantatiza sana wanawake wengi kama si wote wakifika stage wakawa na conflict na mpenzi wake wana revenge kwa kutembea na mtu/ watu wengine na mara nyingi kipindi hicho ndo...
nipo naye kwenye uhusiono yapata mienzi sita.kiukwel nampenda tena sana na nina malengo nae mazur tu ya kuwa mume na mke.tatizo ambalo linanikera ni wivu wake.kwa siku hunipigia simu zaidi ya mara...
Kwenye Biblia,Mw 2:18 imeandikwa;"BWANA Mungu akasema,Si vema huyo mtu awe peke yake,nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae".Ndipo akamletea wanyama kibao lakini hakuonekana wa kufanana nae,Mw...
Wakuu maji yamenifika shingoni,mwaka jana mwshoni,nlikutana na binti mmoja,mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kikuu kimoja dodoma,baada ya siku kadhaa,nikatembea nae,lakini sikuwa na mapenzi...
Swala sio kupata mtoto swala ni ile damu uliomwaga ama ulishiriki ama ulijaribu kutoa msada
ukisoma somo la damu ya yesu utaona kumbe damu inaongea ...na sishangai hata haya matatizo ya madk...