Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna rafiki yangu ameniambia kuwa anapata tabu ya kutafuta loose ball kwa kuwa mkewe hataki kucheza mechi kwa kuwa mtoto wao anaumwa malaria..., nikashangaa nikamuuliza kwani mtoto akiumwa kuna...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Umri miaka 35 kwenda juu hajawai kuoa ,ana watoto mama mbalimbali(hawezi kutulia na wewe) ndo kamaliza chuo hana kazi na wewe una kazi(hapo anapooza machungu ya maisha hakuna love) anajiona...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wasalaam JF! Wandugu kuna mdogo wake shemeji yangu yupo home, admittingly jaman huyu binti NAMPENDA kuliko maelezo, nikimwona na awapo karibu najisikia vizuri sana! na ananichangamkia kweli na...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Pengine ni ukosefu wa ufahamu sisemi wewe la hasha shetan ndie src ya kutufumba macho tusione mbele pengine umekuwa na mwanaume ama mwanamke wa aina hiyo apo juu binafsi usikimbilie tu kuomba...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
...miaka iyo nasoma primary hadi nakuja kumaliza chuo kikuu hawa ndugu zetu walikua juu kwelikweli!!walibahatika kupata kazi nzuri yenye magendo ya kila namna..walitumia pesa ikawazoea hadi...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nadhani baadhi yetu tushakumbwa na hii hali,kwanza ilintokea kwa ex-girl wangu ambapo alitaja jina la jamaa flani hivi,iliniuma sana tukajaachana,binafsi kila ninapocheat nikiwa kunako...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
NYOTA YA PUNDA NA MIZANI Mpate mpenzi siku ya Ijumaa kwenye sherehe za ngoma saa 3 au saa 9, vaa nguo rangi mbili juu nyekundu chini njano. Mshike mkono mara kwa mara, hakikisha mnakula kabla ya...
0 Reactions
5 Replies
34K Views
Hizi ni miongoni mwa sababu ambazo wanaume wengi huchomoa mapema kwa wapenzi wao wapya kabla uhusiano haujashika kasi. Kuna wakati wanawake hukosea na kuvuka mipaka mwanzoni tu mwa uhusiano...
3 Reactions
33 Replies
11K Views
Nawasalimu wadau wa JF! Mimi ni mzima na wikiend nilikua gonjwagonjwa imelala kitandani, si mwajua dozi na maji ya dhahabu haviendani. Back to the main topic, waungwana mliioa na kuolewa nawapa...
4 Reactions
61 Replies
9K Views
Leo nimejikuta nimekumbuka kile kisa kizuri na cha kusikitisha cha Samson na Delilah,kisa hiki ni chenye kusisimua na chenye kujenga hisia nyingi katika mioyo yetu,kubwa zaidi kina mafundisho yake...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habariza jioni wanajamii? Kutokana na kutokuwa na msimamo hawa wakwe ie walezi wa gf wangu,mi naona tufunge ndoa bila ya baraka zao,kisa tofauti za din ie mi muislamu na gf wangu mkristo...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Samahani hii ni kwa wanandoa pekee kwa wale awajaoa ama kuolewa basi hilo tatizo kutoka ni ngumu kama unazini na mwanaume ama mwanamke na huku spiritual husband akitimua uchumba wako kumbe shetan...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jimmy alikuwa yupo darasa la sita wakati mama yake alikuwa akijishughulisha na uuzaji wa ndizi shuleni kwa jimmy ili kupata ada ya kumsomesha pamoja na pesa ya matumizi mengine nyumbani,baba yake...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
kuna kipindi huwa kinaoneshwa dstv channel 125 (zone reality) kinaitwa the cheaters kila siku zajtatu hadi ijumaa mida saa nne usiku na mara chache huwa kinaonyeshwa channel e (144) ya south...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
hbr wanajf,natafuta mchumba ambaye nitafunga nae ndoa.SIFA:- Umri 22-26, Elimu kidato cha 6 nakuendelea.CALL 0759377080
0 Reactions
7 Replies
2K Views
SOURCE: Match.com Kisses are more than a meeting of the lips. When done well, they're a form of communication, a surefire way to tell a woman "I want you" and "I love you." When done badly...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Is it true that duniani wawili wawili.. I mean kila mtu ana barafu wa moyo wake?? Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
5 Replies
902 Views
Natafuta mke sio demu jamani,vigezo ujiridhishe mwenyewe na tabia,sura na umri wako.niinbox weka contact zote muhimu ikiwezekana hata wadhamini wawili na mawasiliano yao pia.
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Nina mahusiano na mtu ambaye tumekutana kwenye mtandao na hatujawahi kuonana, mwanzo tulikuwa tunawasiliana vizuri sana kwa skype, cha ajabu imefika kipindi mawasiliano yamekata na visa vya hapa...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari wanajamii Mwenzenu naleta hoja hii. Inanihusu mimi mwenyewe na simzungumzii mtu mwingine kama ilinavyofanywa na wengine. Nina mke na watoto, kwa muda mrefu tuliishi vizuri japo mikorogano...
2 Reactions
70 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…