Hv kisa kile kinatufundisha nini katika maisha ya mahusiano leo hii.........?

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,096
708
samson and delillah.jpg
Leo nimejikuta nimekumbuka kile kisa kizuri na cha kusikitisha cha Samson na Delilah,kisa hiki ni chenye kusisimua na chenye kujenga hisia nyingi katika mioyo yetu,kubwa zaidi kina mafundisho yake na ujumbe mwingi kwa watu tuishio katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi katika mahusiano.Binafsi ninayo mengi ya kujifunza kutoka katika kisa hiki,ila ningependa kujua wenzangu tulijifunza/tunajifunza nini kutoka kwenye kisa hiki?.
NAWASILISHA.
 
Delilah and the PhilistinesJudges 16:4-5 The story of Delilah is set during the period of the Judges, when the Israelites were still attempting to gain a foothold in the land they had invaded. After this Samson fell in love with a woman in the valley of Sorek, whose name was Delilah. The lords of the Philistines came to her and said to her 'Coax him, and find out what makes his strength so great, and how we may overpower him, so that we may bind him in order to subdue him; and we will each give you eleven hundred pieces of silver.' Read Judges 16:4-5.
 
kwanini usimwamini mwanamke ilihali unachagua wewe mwenyewe kuishi naye na kumpa siri zako

kina tufundisha usimamini mwanamke

Kinatufundisha tuishi na wanawake kwa akili......!!!
Kumbuka na Adam na Hawa.....!!
Mwanamke ndiye aliyemuangusha mwanaume kutoka kwenye utukufu wa MUNGU .....!!
Wanawake walitumiwa na shetani...!!
 
woman>god when influencing a man

  1. S told D his secret hair while God told him not to do so
  2. Adam listened to Eve while God told him not to eat the forbidden fruit
 
Kinatufundisha tuishi na wanawake kwa akili......!!!
Kumbuka na Adam na Hawa.....!!
Mwanamke ndiye aliyemuangusha mwanaume kutoka kwenye utukufu wa MUNGU .....!!
Wanawake walitumiwa na shetani...!!
nimependa hiyo mstari wako wa kwanza,kwenye biblia;WARAKA WA KWANZA WA PETRO 3:7 ANASEMA HIVI "KADHALIKA NINYI WANAUME,KAENI NA WAKE ZENU KWA AKILI NA KUMPA MKE HESHIMA,KAMA CHOMBO KISICHO NA NGUVU;NA KAMA WARITHI PAMOJA WA NEEMA YA UZIMA,KUSUDIKUOMBA KWENU KUSIZUILIWE".
 
binafsi moja ya kitu nilichojifunza ni usiri,inamaanisha kwa mwanaume hata kama unaishi na mwanamke hutakiwi kumweleza kila kitu,mambo mengine unatakiwa uyafanye kuwa siri.Kusema kila kwa mwanamke hupelekea matatizo mbalimbali ambayo huleta ufa katika mahusiano hata kutishia kupoteza maisha miongoni mwetu,kwahiyo usiri ni muhimu zaidi.
 
nimependa hiyo mstari wako wa kwanza,kwenye biblia;WARAKA WA KWANZA WA PETRO 3:7 ANASEMA HIVI "KADHALIKA NINYI WANAUME,KAENI NA WAKE ZENU KWA AKILI NA KUMPA MKE HESHIMA,KAMA CHOMBO KISICHO NA NGUVU;NA KAMA WARITHI PAMOJA WA NEEMA YA UZIMA,KUSUDIKUOMBA KWENU KUSIZUILIWE".

AMEEEEEEEEEEN....Haleluyaaaaaa....!!
 
Tunafunzwa kushika maagizo na kutii; maana Samson angeitunza siri wala mabaya yasingemkuta vivyo hivyo kwa Adam yeye asingekula tunda..but then hivi visa vinaonyesha jinsi mwanamke alivyo na nguvu ya kushawishi juu ya mwanamme..mara nyingi mwanamme hana say when it comes to the woman he love
 
Kinatufundisha tuishi na wanawake kwa akili......!!!
Kumbuka na Adam na Hawa.....!!
Mwanamke ndiye aliyemuangusha mwanaume kutoka kwenye utukufu wa MUNGU .....!!
Wanawake walitumiwa na shetani...!!

Mkuu Kimbweka hapa unamaanisha Wanawake ni traitors ama?:behindsofa:
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kimbweka hapa unamaanisha Wanawake ni traitors ama?:behindsofa:

Hapana, Nijuavyo Bible inasema wanawake ni viumbe dhaifu!!!!
Katika udhaifu huo mwanamke asipokuwa makini shetani huutumia na kumshawishi mabaya....!!!
Baada ya yeye kuingizwa mkenge na shetani, Basi na yeye huenda kumuingiza mkenge Mumewe!!

Mfano
Katika ndoa ambazo hazijabarikiwa m/watoto ni nani huwa wa kwanza kwenda kwa kalumanzila kupewa dawa...?
Fanyia utafiti hili jambo utapata jibu ...!!
 
Back
Top Bottom