Spiritual husband vs spiritual wife vs merriage | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spiritual husband vs spiritual wife vs merriage

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Sep 15, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,403
  Likes Received: 5,678
  Trophy Points: 280
  Samahani hii ni kwa wanandoa pekee
  kwa wale awajaoa ama kuolewa basi hilo tatizo kutoka ni ngumu kama unazini na mwanaume ama mwanamke na huku spiritual husband akitimua uchumba wako kumbe shetan ni wewe ulieanza kumvulia mwanaume chupi kabla ya ndoa

  turudi tulipotoka na tunapoenda najua bado una muda utakaribia kajua baada ya kuingia kwenye ndoa
  ndugu zanguni wapendwa kumekuwa na ndoa nyingi sana zina matatizo na mbaya zaidi hivi sasa nimeona ndoa za watu waliookoka na wanaomjua mungu zikishake na wengine kubana matatizo yao lakini kwa sababu ni binadamu wanashindwa kuyabana na kuyaachia kuomba msaada...hili ni ttatizo na tatizo kweli kweli

  kuna wakati unashangaa mmekuwa mkipendana sana sana baada ya kuoana mwenzio anafurahia penzi baada ya wiki mbili hana amu na wewe tena ...sio yeye tafadhali naomba nikujulishe kumekuwa na mapepo ya spiritual husband ama spiritual wife..wapo wanandoa wameoana lakini wako kama mtu na dada na wanasali kweli kweli ikifika hamu ya ndoa upande mmoja unakuwa auna hamu na mwenzie na kusihia nipe muda namalizia hiki ngoja nikaoge nkakojoe na wengine hata kujifungia chooni ili hamu ya mwenzie iishe

  nini spitual husband/wife
  hawa ni maroho kabisa na wanasikia na wako kama binadamu ..wanachofanya ni kuingia kwenye ndoa wanayoona huko mbele ina baraka na mafanikio kwenye maisha yao wanafikiria kumpeleka mmoja enu kuzimu kwa kutoka nje ya ndoa na wakishindwa wanawakosesha wote hamu kivipi...mume anakuwa usiku akilala anaota yuo na mwanamke mzuri tena kama wewe mkewe na anampa maloveee yote mnayopeaana kitandani baada ya muda mume anakuwa hoi...asbh mke ukiamka kuomba chako cha asbh unakuta mwenzio ata fikirio hana kabisa hali hii ni same kwa wanawake kuna roho za spiritual husbnda baba ..hawa wanakomaa na mkeo kama awana akili nzuri usiku na kumpa style zote wewewe ukiamka ama mkimaliza kusali mnasema mpeane raha mwenzio anamfikiria jamaa usiku anakuja asangapi...na anamkojolesha anavyotaka ....\\ndugu zangu


  umefika wakati wa kupeana info nini srsc ya matatizo ya kwenye ndoa na kama mwenzio ana hali kama hii chukua nafasi yake nenda kanisa lolote la karibu la wokovu kamili waambie wakuombee ikiwezekana peleka kufuli la mwenzio la ndani .......pepo hawa wakati mwingine wanamtumia mumeo unafika wakati mkitokea kkukutana unakuta cha mwenzio kidogo kabisa kama chaki na kinaendelea kutumiwa na wakati ushazoe ndefu ...so chukua nafasi hii kwenda kwa wachungaji wakuombeee achana na hao vimada mahawwara sio soln ya matatizo yako tatiz ni humo ndani chukua anafasi kama mume ama mke simama okoa ndoa yako

  jumamosi njema na wote walioofunga ndoa leo ama wanaosubiri kufunga ndoa hii ni tahadhari jinsi ya kuokoa ndoa yako awa jamaa aijalishi mmekaa miaka mingapi
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  nilipata 0 kwenye somo hili la mapepo.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Wewe aliekuloga keshakufa!
  Njoo tukuandikishe twisheni kwa MziziMkavu.
   
 4. H

  Helios JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  mambo ya spiritual husband and wife si stori za TB joshua hizo?siku hizi watu wanapenda simple answers. ndoa mgogoro, mapepo, huna kazi mapepo yanashika kazi yako. biashara haitoki chuma ulete
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu hizi siyo story ni vitu vya kweli na vinaharibu kabisa ndoa.....!!
  Na tiba ya haya madudu ni kufanyiwa deliverance na kumfuata YESU KRISTO ....
   
 6. H

  Helios JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  mkuu, kabla ya TB joshua na emanuel tv ilishawahi kusikia mambo ya spiritual husband and wife?kwa nini imani za mapepo as cause of everything vipo africa zaidi?wahubiri wa ulaya huwasikii na mambo hayo (hata wakizungumzia ni kwa kiwango kdg).
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mie nshasikia mkuu ..... !!!
  Siyo hayo tuu kuna majini mahaba na mapepo ya ngono.....!!!!
   
 8. H

  Helios JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  mkuu, majini mahaba etc tumeyasikia toka zamani sana ila hili la spiritual husband and wife nayasikia kwa TB joshua pekee. wapi kwengine umeyasikia utuelimishe
   
 9. m

  mhondo JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nilimsikia Mchungaji mwingine anayaita night husband/wife. Spiritual husband/wife si ni kiingereza kwa kiswahili ni majini mahaba na stori zao zipo siku nyingi kama maimuna na makata.
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
 11. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Haya mambo yapo toka zamani sema hapo ameyaita kwa kiingereza, Majini mahaba , mapepo ya kiume na ya kike yapo muda mrefu sana. Manachotakiwa ni kushika imani zenu kwa wanandoa na kumshirikisha Mungu katika kila jambo lenu na pia kuombeana, ila kila shetani anapotaka kuja kuharibu anakuta mko imara anakimbia lakini mkiwa siyo waumini wazuri na hamjui kuomba hizo story hazitaisha.
   
Loading...