Kutaja jina la mtu mwingine kunako 6*6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutaja jina la mtu mwingine kunako 6*6

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Don, Sep 17, 2012.

 1. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,423
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Wakuu nadhani baadhi yetu tushakumbwa na hii hali,kwanza ilintokea kwa ex-girl wangu ambapo alitaja jina la jamaa flani hivi,iliniuma sana tukajaachana,binafsi kila ninapocheat nikiwa kunako faragha hujichanganya na hatimaye kutaja jina la mpenzi wangu wakati niko na mwingine tofauti,wadau je tatizo hili husababishwa na nini? Na njia ya kuepukana nalo tafadhali.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  kuepuka ni kuacha umaaluni na kuwa mwaminifu.....
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mambo yoooteee ni kugugumiaa tu maraha bila kubwabwa neno ........!!!
   
 4. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,780
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  unmpenda gf wako unahangaika na nini?au tu na wewe uitwe kijogoo mtaani!tulia bana sio sifa wala ujanja kuwa nao wengi!
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,215
  Likes Received: 1,622
  Trophy Points: 280
  Hizo ni ajali kazini na ni upepo wa kimapenzi. Unapita tu
   
 6. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,233
  Likes Received: 7,880
  Trophy Points: 280
  Huu ushauri ni kutoka kwa MASTER MWENYEWE MIMI huyooo! Dawa hapo ni moja, kila mpenzi unaempata imediately jizoeeshe kumuita kidhungu, Dear! Darling! Honey mda wote, usitumie jina lake kabisaaa!. Hapo hata kwenye 6*6 utakuwa unaita dear, honey, my love, it doesnt realy matter who you realy mean!!!! Taratiiiibu unakwepa mashtaka kiulaini
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,437
  Likes Received: 28,271
  Trophy Points: 280
  Mke wa Bishanga (aka gelfrendi wangu) huwa ananitaja sana mimi akiwa na mumewe.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  MIjitu mingine inashindwa kuficha ujinga wao jamani mbona kichefu chefu!

  Yaani tukushauri namna ya kufanya umalaya wako?
   
 9. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mhandisi umemwambia vema kabisa...BTW bado nakusubiri
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,567
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  WiseLady Unamsubiria Preta kwa mtaa huu huu ama kwingine?
  btw, wewe hii kitu huwa inakutokeaga?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,423
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  yani mijitu mingine sijui ikoje? Unaona kichefuchefu wakati style flan inakuhusu,nani kakuambia nahitaj mbinu ya kufanikisha umalaya?toa ushauri acha rude language,ptuuuuuu
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 42,004
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  Mawazo yako yanakuwa na mtu mwingine ndio maana unatokewa hili jambo.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,057
  Likes Received: 3,805
  Trophy Points: 280
  Kama huwezi kujizuia acha ku-cheat.
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  hili jambo kwa macheater ni rahisi sana ila kwa waaminifu kama mimi hapo kitu kama hii..

  na ukiona hivyo ujue uanze kusepa mapemaa..
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha, no comment!
   
 16. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,472
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Uwe bubu wakati unafanya ngono itakusaidia labda!!! :wacko:
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,020
  Likes Received: 5,190
  Trophy Points: 280
  kweli una masters
   
 18. U

  Umkomboti Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umalaya 2 unakucumbua ovyoo napita tu
   
 19. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  namsubiria kny eneo la kazi,kujibu swali ni kuwa hii kitu haijawahi kunitokea maana bado kushiriki hilo zoezi,kwema lkn?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  kumbe umenipa trick nzuri ya kumbwaga binti pale ambapo nimeshaichoka K yake....wakati wa game nataja jina la demu wether imaginary or not
   
Loading...