jason
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 315
- 165
kuna kipindi huwa kinaoneshwa dstv channel 125 (zone reality) kinaitwa the cheaters kila siku zajtatu hadi ijumaa mida saa nne usiku na mara chache huwa kinaonyeshwa channel e (144) ya south afrika. wana MMU itakuaje kama kipindi hicho au kampuni hiyo inaazishwa bongo