Nifanyeje katika hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanyeje katika hili?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by zethumb, Sep 18, 2012.

 1. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Wasalaam JF!
  Wandugu kuna mdogo wake shemeji yangu yupo home, admittingly jaman huyu binti NAMPENDA kuliko maelezo, nikimwona na awapo karibu najisikia vizuri sana! na ananichangamkia kweli na kiufupi nina mawasiliano nae mazuri mno! nataman sana kumweleza hisia zangu kwake hila naofia kuaribu huu uhusiano uliopo kwa sasa kwani endapo atanichukia kwa kumwambia hisia zangu yaaani kila mmoja pale home atagundua kuna kitu kimetokea kati yetu maana kwa kweli zinaiiva sana na binti huyo ninaempenda....mfano nikitoka kwenye miangaiko yangu ananisalimia vizuri...tabasamu kubwa na vikolombwezo kibao! niko njia panda jamaa kwa mlio na ujuzi nipeni matuit jamaani!

  nawasilishe!
   
 2. awp

  awp JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  huo ni uchafu unaotaka kuufanya, jamani mbona wapo wengi mujini hapa hadi umchukue shemejio? (mdogo wa shemejio ni shemejio pia)
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Eeeeh bhana eeeeh!
  Kaka kakuletea mboga ndani....!!!
  Unataka kuitafuna sasa..........!!!!
  AAAAaaaaiiiseeeeeeeee.........
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,989
  Likes Received: 5,148
  Trophy Points: 280
  acha tabia chafu, uzinzi tu unakusumbua
   
 5. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  young boy tulia achana na hayo mawazo,assume bahati mbaya unampa ujauzito........ts pretty bad
   
 6. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  COURTESY, sina mpango wa kumpa mimba maana naelewa situation ilivyo, na ofcourse kuachana nae nahisi ntakuwa sijajitendea haki! yaani kiufupi hadi tumbo linaniuma nikimfikiria!
   
 7. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  wapo wengi najua na wazuri kumliko lakin huyu kaingia mtima jamaa, niache tu hivi wakti naumia?!
   
 8. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,894
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  eti nini??Bwana mdogo,najua hapa hutaelewa ushauri wetu,mbaya zaidi mnaishi pamoja na huyo binti hivyo bado ni rahisi kuingia majaribuni.Ushauri wangu, kama inawezekana badilisha makazi kabisaaa,kama unataka kukimbia zinaa,vinginevyo utajuta siku sijazo
   
 9. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 764
  Trophy Points: 280
  hembu fafanua vizuri huo uhusiano wako na huyo mdogo wake shemejio!
   
 10. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  kijana una matatizo si bure
   
 11. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,894
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ok, sasa nimekuelewa huitaji ushauri wetu
   
 12. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  siyo hivyo mkuu hili ni pendo haswa sijawahi kumpenda demu toka mwazo wa mwaka 2000 nilipoachana na demu wangu wa kwanza, hawa waliokuja ni kumaliza na kusepa, ila huyu kajaa mtima!
   
 13. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,894
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Huyu bwana mdogo anatusumbua ,ni mzinzi
   
 14. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  ndo nimtokee au nimpotezee kabisa?
   
 15. w

  wonishi Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo ni mdogo wake mke wako au ni mdogo wake na mke wa kaka yako? kama ni mdogo wake na mke wa kaka,Kubanjua ruksa!
   
 16. Root

  Root JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 22,505
  Likes Received: 8,039
  Trophy Points: 280
  Tumia akili yako pia Kumbuka usizini amri ya . . . . .
   
 17. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kaunga, namaanisha tuko in good terms, ananijali sana, kila ninacho mwambia kunifanyia na anafanya bila tatizo wala lalama kama wengine ninaowajua (mifano siwezi taja maana yaweza kuni reveal mimi nani) ofcourse ni mausiano ya kawaida kwa sasa!
   
 18. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,894
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Uzinzi unakusumbua
   
 19. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  ni mdogo wa mke wa kaka..
   
 20. awp

  awp JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  utoto raha
   
Loading...