Wanaume wa kuogopa

mimi ai

Member
Apr 2, 2012
89
30
Umri miaka 35 kwenda juu hajawai kuoa ,ana watoto mama mbalimbali(hawezi kutulia na wewe)
ndo kamaliza chuo hana kazi na wewe una kazi(hapo anapooza machungu ya maisha hakuna love)
anajiona superstar (ni mjinga sifa zitakumaliza)
anakupipu pibu ata kama mnatumia mtandao mmoja(bahili)
ni mchoyo(ukitoka nae anaomba menyu na kukagua kila kitu sh ngapi in advance then ananunua vya bei rahisi)
 
this supposed to be a status update somewhere FB,hi5,digg,tagged whereverrrr!!!
 
ukisikia paaa..............
ndugu una mauzoefu ya kutosha, vidume vyote vitano vimekutenda duu!
 
hahaaaaaaaaa unaloooooooooo!!!!!!!!chezea wanaume weye!! umesahau wanaume tunakuangalia umekaaje kaaje kama unapoz za kimalayamalaya unategemea nn..haujui kuongea na mwanamme upo kishankupekupe..tunakupig acha juu tunasepa...always mwanamke anayejieshmu na kujitunza even bad boyz huwa wanamuogopa...!!we reserve her for marriage!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom