Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,253
- 1,028
Habariza jioni wanajamii? Kutokana na kutokuwa na msimamo hawa wakwe ie walezi wa gf wangu,mi naona tufunge ndoa bila ya baraka zao,kisa tofauti za din ie mi muislamu na gf wangu mkristo
Nilipeleka posa wakakubali bila kuainisha masharti juu ya hizi tofauti ingawa binti karidhia kubadiki dini
sasa mambo bam bam na kadi zimeshasambazwa na wengine wamewasilisha michango yao ndiowamemuita mwenzangu wanasema hawapo radhi kwa yeye kusilimu na hivyo endapo yeye akisilimu ajijue yeye.
Mi kila nikitizama naona nimeshafika mbali sana katika haya maandalizi kucancel hii shughuli hnakuwa far beyond imposibo. Tunachukua maamuzi magumu japo upande mwingine tupo njia panda. Plz give constructive advice/contribution.