Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. I am your Main Squeeze: thou shalt squeeze no others before me. 2. Thou shalt not take the name of thy Squeeze in vain, nor badmouth me behind my back. 3. Remember our Anniversary, and...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hakuna mtu aliekamilika hata kidogo,hata mwanamke awe mzuri kiasi gani ama mwanaume awe mzuri lazima kutakua na kasoro kwenye tabia ama mambo anayoyafanya yanakukera na bado unavumilia,,Hasa...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Mmmh, duniani kuna mambo Nilikuwa nasikiliza redio moja, akina mama wanaulizwa kama wamewahi saidiwa na waganga wa kienyeji Mmoja akasema alikuwa na matatizo na mmewe Akashauriwa kwenda kwa...
4 Reactions
127 Replies
18K Views
Naomba nirudie kupost mada hii. Ni kweli natafuta mchumba wa kike. awe na sifa hizi: Umri: miaka 19-24 kabila:mkurya/mjaluo dini: mkiristo kazi: akiwa mwalimu itapendeza sana(mwalimu shule ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Ningependa kupata msichana mwenye sifa zifuatazo: 1. awe muislam 2. Awe na mwili wa kawaida si mnene awe na urefu wa wastani maji ya kunde rangi 3. Mwenye...
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Reference By Jenna Birch Can you spot a husband prone to infidelity? If he's unhappy with his wife, he'll cheat, right? Not necessarily. According to a Rutgers University study, 56% of men...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JF members, najua wengi wetu tupo single humu kama vipi tuwasiliane jamani..
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuhusu hii kesi wengi hawaelewi kwa nini Dr Slaa kupitia kwa mwanasheria wake alisema Josephine Kamili aliyekuwa girlfriend/living together hakuwa na haki ya kwenda mahakamani,hapa kesi kama hii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je,moyo wako ukiwa umemzimikia mtu akili yako inaweza kufanya uchambuzi wa faida-hasara ya uhusiano huo?/When your heart has fallen for someone can your mind do a cost-benefit analysis of that...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya sherehe iliyomhusu, mme wangu June 2012, alitoa ofa ya chakula cha jioni kwa familia na wageni wetu. Tulipofika pale hotelini tuliwakuta wadada wa2 wa kiafrika, (Ile ni hotel ya kichina)...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Nina mpenzi wangu nampenda sana , ila tatizo kubwa lililopo ni kwamba huko nyuma niliwahi kumsaliti na alinisamee tukaendelea na maisha, lakini toka amenisamee amekua ni mtu mwenye hasira na...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Jamani naomba kusaidiwa. Nataka kufahamu kwa nini pete za uchumba anayevalishwa ni mwanamke tu wanaume hapana, lakini za ndoa wanavalishana wote. Alamsiki
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huku baby ananyonya ngoja akili iende safari kidogo. Back then muda kama huu ningekuwa nishajipara nikauramba na sip Savannah yangu mixed with a shot or two of vodka nimerelax tuuu najipa raha...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Wana JF naomba ufafanuzi. Ni kawaida kusiikia mwanamke ambae anafanya ngono na watu wengi akiitwa malaya. Ni mara chache au nadra kusikia mwanaume mwenye tabia kama hiyo akiitwa malaya. Kwa nini...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Umemuona mwanamke ukampenda mtu mzima ukaamua kumuapproach kwa gia ya urafiki,baada ya muda ukaamua kumwambia hisia zako za kweli then Anakureject(Anakutosa).Sasa naomba niwaulize kuna umuhimu wa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi ni lazima mke mpya abadilishe mpangilio wa mazaga zaga chumbani kwa mume wake mpya?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
USA na nchi Za ulaya mwanamke anayejirusha mwenyewe bar na restaurant peke yake bila mume wake kuwepo wanaitwa wanawake wenye high self esteem na not insecure na independent mind .bongo wanaitwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana JF, Kuna jirani yangu, mdada wa makamo ana watoto wawili wa kiume wa kuzaa mwenyewe na mmoja wa kiume wa ndugu yake anaishi nao huko boko. Amewafumani jana wakiwa wanafanya mchezo mchafu kwa...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Wana jf, Ifahamike kwamba mapenzi huanzia sehemu ndogo sana hatimaye ndoa. Kabla hujawa na mpenzi/mke kuna tabia ulizokuwa nazoambazo kwako uliona kama nzuri, kuna vitu hasa wanaume huwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…