Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,146
- 34,190
Huku baby ananyonya ngoja akili iende safari kidogo.
Back then muda kama huu ningekuwa nishajipara nikauramba na sip Savannah yangu mixed with a shot or two of vodka nimerelax tuuu najipa raha taratibuuuu.
Kwa vile nipo hostel za chuo cha kodi (huwa na miss sana ITA ndio maana huwa napataja kila mara) tangu nimekula mchana sijala tena. So nahisi njaa kwa mbali but baadae naenda kula makange Rose Garden so haina noma. Ka pub ka ITA nakapenda kwa sababu ni decent, quiet na hamna hooligans wa kuniminya **** nikipita eti wanajidai wamelewa. Pia sihitaji kampani so nina uhuru wa kunywa alone bila mtu yeyote kuwaza nipo hunting au vipi na hivyo kujisogeza ili kujipendekeza. So nakunywa, nacheki simu bf anapiga. Hili nalo kwa machale? Kwa vile background ipo quiet napokea. So tunaongea namwambia leo tupo night class utakuja kuncheki? Anasema we piga shule kesho Sunday nitakufata tukale samaki Kawe Club. Nasikitika ila nikikata simu narukaruka. Namalizia cocktail yangu naenda kuchukua pochi na kubadili viatu. (sivai heels kwa sababu nilisema siku nikidondoka kisa pombe sitakunywa tena).
Naita taxi mimi huyoooo Rose Garden. Piga msosi wangu faster halafu naelekea Kibo Bar. Kuna mitaa siwezi kaa sana bf (mume kwa sasa) asinibambe. So nimeshafika Kibo. Leo sijui ninywe Martini? Baccardi naipenda but ipo siku karibu nilazwe spitali. Anyway, vodka will do me right so naendelea na vodka. Nipo garden so navua sandals and I love the feeling of newly mowed grass, and am happy. Kuna bendi leo inapiga muziki but I prefer serene settings. Kata mayi mtoto wa kike kwani nini? Baada ya muda vodka ishakwangua kila kitu so naagiza bites kabla kitchen haijafungwa. Nawaza kujisogeza jumba la sanaa ila nahisi shots zinapanda so sinywi tena mpaka nirudi level. Hapanogi na am bored, so ngoja nirudi chuo. Mida yenyewe hii. After all nisije lewa sana na bf anajua nimeshawacha pombe siku nyingi. So narudi chuo, naoga nalala. Am so happy. Next weekend tutajua imekaaje.
Sasa fast forward to reality. Nimeshaolew. Nimeacha pombe na starehe zote. Nimeshaitwa mama. Ngoja nilee, nigange yajayo.