Je ni lazima? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni lazima?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jaffary msikivu, Oct 19, 2012.

 1. j

  jaffary msikivu New Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 16, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni lazima mke mpya abadilishe mpangilio wa mazaga zaga chumbani kwa mume wake mpya?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mhhhh .............
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  je mwanamke mkukuu kuu na mme mpya??
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni nini? Kwa ufahamu wangu dada zetu walio wengi ni wataalam wa kupamba na kupanga hususani kama mna uhusiano wa namna hiyo na wewe mwenyewe nyumbani kwako kuko hovyo! Katika zoezi hili, kila mwanamke hupendelea mpangilio wa aina fulani ndani ya nyumba na ni ngumu namna ya upangaji kufanana na ndiyo maana huyo mpya kaja na mpangilio mpya!
  Mi nafikiri hilo si suala la kuumiza kichwa, bali ni jambo jema maana nyumba yako inabadilishwa muonekano na kupendezeshwa zaidi.
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,690
  Trophy Points: 280
  Swali lako ni jepesi sana unatusumbua tu akili zetu...waulize shemeji zako watakuwa na majibu ya jinsi ndugu yao alivyo.
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Sio lazima, ila mara nyingi taste hutofautiana hivyo ni nzuri kutii kiu yake.

  Looks like u r still in love with ur X ndio maana unaoneshwa kuhold on to the memory. Unaonaje ukienda kumuomba mrejeane kuliko kumuumiza huyo wa sasa hivi na wewe mwenyewe!
   
 7. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135

  Sio lazima, ila inapeza aweke mazingira vile ambavyo anaona yeye haitampa shida katika kumbukumbu ya vitu
   
 8. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  kawaida sana, kwani nyumba ni ya mwanamke, wanaume tulio wengi tunakuwaga rafu au hatujui kupangilia vitu
   
 9. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
 10. A

  Andrew Jr JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kocha akipew timu, lazima aingize mifumo mipya . Maana yake ni kwamba mifumo ilotumiwa na kocha wa zamani ilikuwa mibovu. Ndo mana timu ikawa inachemaka
  ANGALIZO:
  Neno langu si sheria
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,882
  Likes Received: 83,364
  Trophy Points: 280
  Mwachie uhuru bana wa kukiremba chumba labda mpangilio wako ulikuwa ni wa kinjemba njemba hauna mvuto kabisa kwa mkeo...basi hata mke kukipanga chumba upya inakuwa issue!!! DuH!!!!

   
Loading...