Kwa nini mwanamke haendi bar mwenyewe na mume anakaa ndani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini mwanamke haendi bar mwenyewe na mume anakaa ndani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Natalia, Oct 20, 2012.

 1. N

  Natalia JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  USA na nchi Za ulaya mwanamke anayejirusha mwenyewe bar na restaurant peke yake bila mume wake kuwepo wanaitwa wanawake wenye high self esteem na not insecure na independent mind .bongo wanaitwa wahuni why
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  coz many wanaishia kutongozwa na kumegwa.
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu USA na Ulaya huko unakokusema mwanamke na mwanamme "wanaoana", they get married.

  Bongo mwanamke hata awe nani anaolewa. Per mfumodume.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mtu anaitwa mhuni kwa sababu ni mhuni.

  Je, mhuni imesheheni nini na nini, inategemea tafsiri ya jamii husika.
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mbona miye huenda mwenyewe na nameet watu tofaut?may b bcoz am not married so its no big deal.swala la uhuni inategemea mwanamke mwenyewe,kama ni mhuni hata asipokwenda huko bar stil atakuwa mhuni.
   
 6. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Vile utakavyojiweka mbele ya jamii ndo kuta determine kama we mhuni au la..ila kama umejivalia kistaarabu umefika umekunywa chache za hamu kisha ukaondoka. Hapo mwanaume ataekuita mhuni either anakutaka au ni mwanamke mwenye wivu na wewe..
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Ukienda kimboka ama corner bar ndo utaitwa muhuni. Kuna sehemu mwanamke unaenda unakaa kwa raha zako alone, hakuna disturbance wala nini. Siku zineshabadilika baba. You earn it you use it.
   
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Tuko pamoja King'asti,
  Unajua kuna bar zingine hata kama utaenda huku umevaa Dera ni lazima utajulikana ni wale wale isipokuwa leo umekuja kistaarabu zaidi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  sio maswali yote yana majibu, na sio mambo hits yanayifanywa USA ni Sahihi.
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Ni tamaduni tu zimetofautiana ...
  Kuna nchi moja nilienda, huko mwanaume ukivaa suruali bila kuchomekea anaonekana shoooga. Lakini kwetu TZ kuvaa hivi ni kitu cha kawaida kabisa, ni suala la mazoea, tofauti ya tamaduni na mazingira.
   
 11. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Heri mimi sijasema maana inaonekana huu uwanja umejaa wenyewe tu!
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  thread closed!
   
Loading...