Akiri: Mganga wa kienyeji alininyonya VV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akiri: Mganga wa kienyeji alininyonya VV

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kongosho, Oct 16, 2012.

 1. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mmmh, duniani kuna mambo

  Nilikuwa nasikiliza redio moja, akina mama wanaulizwa kama wamewahi saidiwa na waganga wa kienyeji
  Mmoja akasema alikuwa na matatizo na mmewe

  Akashauriwa kwenda kwa mganga, huko Tandika
  Mganga akamjibu, kwa kuwa hana kijiwe, wakutane gesti amtibu

  Bi dada akaenda guesti kama alivyo
  Mganga akamsemea maneno wee
  Halafu mganga akamuuliza bi dada, una kitambaa?
  Bi dada akajibu hana

  Basi mganga akasema atamumia kitambaa chake
  Akamvua kyupi, akaanza kumnyonya VV afu anatemea kwenye hicho kitambaa
  Akarudia mara nyingi weeeee
  Akapiga magoti akaanza kuvua sarawali yake

  He ndio bi dada kung'amua anataka kubakwa
  Akabeba kyupi chake mkononi akakimbia

  Swali kwa wakaka, kama ni mkeo unamwacha?
  Swali kwa wadada, inalipa? hata kama asingemwingilia, ila ile kunyonywa tu na kupewa dawa kwa ajili ya ndoa, inalipa??
   
 2. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aliyataka mwenyewe. Nani kamwambia guest ni kwa wanganga au wageni siku hizi? Siku hizi guest ni kwa wenyeji wenye ndoa wanapotoka nje ya ndoa zao. Mganga alitaka kutoka naye. Hata hivyo mganga alifaidi kama kiasi
   
 3. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Imani za Kishirikina, ni miongoni mwa vitu vinavyonikera sana! Kwa mtazamo wangu naona waganga wa namna hii huongeza matatizo badala ya suluhu ni vyema kuwaepuka.
  By the way, suluhu gani au matatizo gani ya ndoa yanaweza kutibika kwa mganga wa kienyeji?! :A S embarassed:
   
 4. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwanza kwa nini aende kwa mganga wa kienyeji? hata kama kuna tofauti ktk ndoa yake but kwa enzi hizi hakunaga mapenzi ya kiganga ganga jaman na kama yalikuwepo ni zamani hizo.Kama unategemea mganga kukutatulia matatizo yako, umepote anjia 7bu ukimfuatilia huyo mganga mwnyewe ana ya kwake tena ukute ni makubwa kuliko hata ya kwako. Watu wabadilike sasa jaman na tuamini ktk natural ways of solving problems na si kishirikina.if wife akifanya hayo, mbona siku hiyo hiyo tu tunaachana!!!!!!
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Upuuzi mtupu wa TZ tumekuwa wajinga sana mganga anakuvua chupi?
  Huyo mganga kweli.lol!
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ahahaaaa huyo mganga bana
  viungo vyote lazima anyonye huko
  au alimwambia anataka kuongeza utamu huko ili mumewe asimuache ?
  kwi kwi kwiiiii
   
 7. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Yaani Kongosho hii mada yako watu wote watamuona huyu mdada *****..na utaona kila mtu anakemea ushirikina..lol
  Lakini kila kukicha mabango ya waganga yanaongezeka na wateja ndio sisi hawahawa....lolest!!!
  Yaani katika nchi ya maajabu ni hii...Sisemei kwenye mapenzi tu but ushirikina ni janga la kitaifa kwa kweli!
  Haijalishi msomi au mbumbumbu wote tumekwama kwenye huu ulimbukeni...wanasiasa ndio usiseme..lol
  Jiulize alichofanya babu wa loliondo na huyu mganga wa guest kuna tofauti gani???....yaani mtu unakimbia hospitali unaenda kunywa kikombe!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  hata kwa kunyonya Mganga alifaidi mm km ni Mke wangu atanitambua kitendocha kumuonyesha picha yangu ya VV yake, na sitaamini lazima alitumbukiza .............
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,845
  Trophy Points: 280
  aliliwa huyo.. kakaa ananyonywa anapata utamu nguvu za kukimbia kazitoa wapi?
   
 10. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kama nimejua basi asithubutu hata kurudi nyumbani asepe tu mazima!
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Una akili sana wewe.....umeona eee!!!:lol::lol: issue ni utamu bana......as if kuna nyingine ni made in Kilombero suger company..!!!
   
 12. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kwenda kwa mganga kwa matatizo ya ndoa ni sawa na kupoteza/misplace kitu nyumbani kwako afu unaenda kukitafta kazini/kanisani! Matatizo ya nyumbani kwako huwezi yatatua kwa mganga!Shauri yenu wanawake mnaoenda huko kwa hao waganga wenu
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hayo ndo matunda ya ushirikina.....

  Ila mganga nae ana moyo, haogopi hata fungus????
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  On point

  Mie mwishowe nataka kuanza kuamini
  Au kweli wanasaidiwa? Mbona kila kukicha waganga wanaongezeka tena kwa kasi??


  Huyu kaniacha hoi baada ya kusema alimnyonya na kutemea kitambaa na yyeye akatulia tu

   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nadhani alimwambia shida ipo kwenye k jirani ameiloga ameitupia jini imekuwa chungu so lazima anyonye avute jini ili iwe tamu
  uhuhuuuuu
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hapo alishamwambia k imelogwa imerushiwa jini lipo kwa ndani so atulie alivute
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Alitumia nguvu za miguu kukimbia

   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mdada mmoja yeye kakiri kabisa mganga alipaka dawa VV kwa kutumia fimbo yake ya asili

  Ili dawa ikolee lazima ifike mwisho zaidi wa kiungo, na kutumia mkono au fimbo itachubuka na utamu utapungua.

  Kwa hiyo alimla na hela akasepa nayo 1.2m za kitanzania lol

   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mjini Mipango
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Ndo mipango ya kunyonya wake za watu jamani??

   
Loading...