Tabia ama Kitu gani unakivumilia kwenye mahusiano yako

Penelope

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
714
641
Hakuna mtu aliekamilika hata kidogo,hata mwanamke awe mzuri kiasi gani ama mwanaume awe mzuri lazima kutakua na kasoro kwenye tabia ama mambo anayoyafanya yanakukera na bado unavumilia,,Hasa kwenye Ndoa ndo balaa,mtu anachoka ama anakerwa na tabia ya mwenzake mpaka anatamani mwenzake asafiri kwa mda ama hata asimuone hapo nyumbani mda mrefu.
 
Duh ni kweli hakuna aliyekamilika hata mmoja na kila uhusiano una changamoto zake za kutosha.ninavumilia mengi tu kwa kweli na mengine si ya kusema,unaweza ukakuta mwenzio ni mkali kama pilipili na sometimes inabidi ushuke ili mambo yaende.tofauti ktk mahusiano ni lazima ziwepo coz of different historical background na ni lazima sometimes to agree to disagree on some matters.
 
wanaume tunavumilia meengi tu lol
Acha tu.... ukishaona mwanamke eti anaanza tabia ooh, nachukia ndoa yangu, sina raha natamani japo nisafiri kidogo , kwa asilimia 90%, amepata mwanaume na soon utasikia anagawa nje...
 
1.kutumia pesa vibaya
hesabu idadi ya mikoba,viatu,nywele na kadhalika

2.kushindana

3.wivu kwa kila mtu, wanawake woote wanaokutana na mumeo

4.mdomo ,mdomo na gubu

5 umbea na kuwa busy na yasiyowahusu

6.mengi tu

kwani mie sifanyi kazi? sistahili kujipenda kwa kuvaa vizuri nipendeze?
hebu angalia
tunavaumilia ulevi wa kupindukia...

ufujaji wa hela hasa kwenye ulevi na nyumba ndogo.......

ubabe usiokuwa na sababu..........
ukatili wa kibaba
kukojoa kitandani
kutapika vitandani
kurudi usiku wa manane
uvivu has kwenye kazi za ndani
n.k
 
Wanaume tunavumilia mengi. Natalia njoo huku mama uwaambie hawa wadada wa "kiswahili" waishije!!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mtu aliekamilika hata kidogo,hata mwanamke awe mzuri kiasi gani ama mwanaume awe mzuri lazima kutakua na kasoro kwenye tabia ama mambo anayoyafanya yanakukera na bado unavumilia,,Hasa kwenye Ndoa ndo balaa,mtu anachoka ama anakerwa na tabia ya mwenzake mpaka anatamani mwenzake asafiri kwa mda ama hata asimuone hapo nyumbani mda mrefu.

Mimi ninavyojua....Makosa yasivumilika ktk mahusiano 1.WIVU 2.USALITI vingine vinavumilika kwa sababu maalumu.
 
kwani mie sifanyi kazi? sistahili kujipenda kwa kuvaa vizuri nipendeze?
hebu angalia
tunavaumilia ulevi wa kupindukia...

ufujaji wa hela hasa kwenye ulevi na nyumba ndogo.......

ubabe usiokuwa na sababu..........
ukatili wa kibaba
kukojoa kitandani
kutapika vitandani
kurudi usiku wa manane
uvivu has kwenye kazi za ndani
n.k

safi sana, na sio hayo tu yapo kibaoo,mengine ni aibu hata kuyaandika humu mmmh!
 
kwani mie sifanyi kazi? sistahili kujipenda kwa kuvaa vizuri nipendeze?
hebu angalia
tunavaumilia ulevi wa kupindukia...

ufujaji wa hela hasa kwenye ulevi na nyumba ndogo.......

ubabe usiokuwa na sababu..........
ukatili wa kibaba
kukojoa kitandani
kutapika vitandani

kurudi usiku wa manane
uvivu has kwenye kazi za ndani
n.k
Hapo kwenye red hatari kweli kweli ipo hii lakini?
 
navumilia vingi sana:-
wife kunichezea filamu za kizamani(usaliti)
kwamba yeye ndio anajari sana familia(mimi nikiwa natafuta pesa)
kwamba yeye ndio anajua kuudhika sana zaidi yng(sababu sina mpango wa kutia magumi)
kunijaribu kwa vitu wakati mgumu,
kutishia kuachana nami(wakati n wanandoa)
kuona vyake kwanza,vyako baadae.
uvumilivu nautumia sana ndani ya ndoa yangu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom