Kuh ndoa ya Dr Slaa na mchumba wake ipo watake wasitake ni jinsi tu ya kusubira sheria inyambuliswhe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuh ndoa ya Dr Slaa na mchumba wake ipo watake wasitake ni jinsi tu ya kusubira sheria inyambuliswhe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mboko, Oct 20, 2012.

 1. M

  Mboko JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuhusu hii kesi wengi hawaelewi kwa nini Dr Slaa kupitia kwa mwanasheria wake alisema Josephine Kamili aliyekuwa girlfriend/living together hakuwa na haki ya kwenda mahakamani,hapa kesi kama hii ni kwamba yule mama Josephine Kamili alifanya papala ya kukimbilia kule kwa koti lakini kama angetumia njia ya mkato na pia ipo kisheria asingejidhalilisha kiasi hiki kwa kuonyesha bado anamtaka Dr Slaa na kuonyesha wivu wa kimapenzi dhidi ya Mchumbake Dr Slaa mama Josephine Mashumbushi hii haijakaa vizuri na waliomshauri walienda mbali sana.Kwa nini nasema walienda mbali na kupotezeana muda
  (1)Ni kweli kisheria yeye kama Josephine Kamili ana haki ya kupata mgao wa mali ambazo walichuma wakiwa pamoja na Dr Slaaa kwa kuwa waliishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili japokuwa hawajaoana lakini sheria inasema ana haki ya kupata 10%ya mali walizochuma pamoja kwa kuwa pia ana watoto is okey.
  (2)Huyu mama alidanganywa na wapambe wake,wakati hii habari kisheria kabisa alitakiwa yeye na mwanasheria wake wakutane na Dr Slaa pia Dr Slaa akiwa na mwanasheria wake then wakadiscuss whats going on then wakaleta mali ambazo walichuma pamoja ili hawa wanasheria waangalie vipi wamsaidie Josephine Kamili angalau asiachwe mikono mitupu atleast apate naye kifuta machozi
  Lakini kule kwenda mahakamani isingekuwa aende kwani ni issue ndogo sana pia hii kesi inaweza kutolewa pale mahakamani na kwenda kusuluhishwa kwa vitengo tunavyoita Family Ofice i mean kuna watu ambao wako na Ofisi zao na zipo kisheria pia na pale watazungumzia habari hizo na kama hapo itashindikana wanaweza kupata ushauri zaidi mahakamani lakini kwa Wabongo wanaona ati hii kesi inatisha lakini siwalauma kwa kuwa wengi wetu hatufahamu sheria za nchi yetu hata ile robo tu ndio maana hata magazeti yanaandika kishabiki kama ni kitu cha hatari sana.
  Hawa watu ambao wanasaidia familia ambazo zina matatizo pia wanauwezo wa kusuluhisha kwa wana ndoa ambao walitengana lakini kukawa na mgogoro wa kutolipa zile tunaita Childsapport so hapo pia ndio kwao na hapo kama itashindikana pia kusove the problem so wanaweza kwenda mahakamani lakini ni issue ndogo sana.
  Pia kuhusu huyu Josephine Kamili kumuunganisha Josephine Mashumbushi hana sababu/asingefanya vile na ile inaonyesha moja kwa moja ni wivu na huyu mama ambaye ni First lady mioyoni mwa watu wengi.
  Kwa ufupi tu tujiandae kwa michango ya Harusi kwani si mbali kitaeleweka.
   
 2. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kule jukwaa la siasa nimeacha kuingia coz tumeshawachoka kila siku slaa,mbowe,zitto na chadema tumekuja huku mmu mnatuletea tena,hvyo vichwa vyenu hamna kinachowaza zaidi ya siasa tuuu,pum..u zako
   
Loading...