Wanaume kutokuvaa pete za uchumba

Godwin Mneng'ene

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
215
84
Jamani naomba kusaidiwa.
Nataka kufahamu kwa nini pete za uchumba anayevalishwa ni mwanamke tu
wanaume hapana, lakini za ndoa wanavalishana wote.

Alamsiki
 
Back
Top Bottom