Serious natafuta mchumba wa kike (19-24)

Oct 3, 2012
7
0
Naomba nirudie kupost mada hii.
Ni kweli natafuta mchumba wa kike. awe na sifa hizi:
Umri: miaka 19-24
kabila:mkurya/mjaluo
dini: mkiristo
kazi: akiwa mwalimu itapendeza sana(mwalimu shule ya msingi/sekondari)
appearance: mrefu wastani, mnene wastani,
Rangi: yoyote.

Mimi nina sifa hizi:
jina: Eliya eliya@rocketmail.com.
Umri: miaka 27
kabila:mkurya
dini: mkiristo
elimu:
chuo kikuu
kazi: mwanasheria wa halmashauri.
appearance: mrefu wastani, mnene wastani,
Rangi: mweusi.

TAFADHALI dada aliye TAYARi ani PM au tuwasiliane kupitia eliya@rocketmail.com. then tutazidi wasiliana kwa simu.
 
Muraaa,bhokeye
Amang'ana?
Haya bana subiria watakupm

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom