Mlio kwenye ndoa/wenye wapenzi ulishafanya hili?

Andrew Jr

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
330
117
Wana jf,
Ifahamike kwamba mapenzi huanzia sehemu ndogo sana hatimaye ndoa.
Kabla hujawa na mpenzi/mke kuna tabia ulizokuwa nazoambazo kwako uliona kama nzuri, kuna vitu hasa wanaume huwa hawafanyi wengine wakisema ushamba. Mfano kuna jamaa anajisifia hajawahi kujipaka mafuta, lotion zaidi ya miaka 10.
Lakini baada ya kupata mpenzi/mke, full darasa na mengine mengi na sasa unavifanya. Je uliwahi hata siku moja kumpa shukrani alivyoweza kukubadilisha?
Nawasilisha
 
sijawahi, nimebadilika ili yeye afurahi.
Ila na mie nikapata faida
 
loh....
Sijawahi kumshukuru....
Ila kuna niliyombadilisha, na kuna aliyonibadilisha....kuna mengine unayamezea tu na kuna mengine anayamezea.... Hiyo ndio ndoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom