Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu...
14 Reactions
366 Replies
27K Views
It was nice having you here in Tanga, though it was a short stay. I am comfortable that you enjoyed your stay. It was so amazing that those great names I Have been reading in the forum we can meet...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kwa niaba ya wadau wa Tanga, kuwashukuru wana MMU na CC walitutembelea hapa Tanga kuanzia Tarehe 28 hadi 30 Disemba 2012. Binafsi nilifarijika na ninashukuru sana...
9 Reactions
71 Replies
4K Views
Habari za majukumu wana jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nikiingia katika jukwaa hili nikiwa muhanga na majeruhi wa kufa leo au kesho kwa sababu ya mapenzi, ni miaka 2 sasa imepita toka nimfahamu...
2 Reactions
83 Replies
10K Views
Wapendwa wana jamvi, awali ya yote napenda kuwatakia maandalizi mema ya mwaka ujao wa 2013. Leo hii nimependa kuwakumbusha wale ambao ni wazazi na wale ambao wanategemea kuwa wazazi juu ya...
11 Reactions
54 Replies
4K Views
Heshima yenu wakuu.Kondom ndio mkombozi wetu mkuu katika maisha ya ngono.Tatizo kubwa linaanza kwenye ufunguaji wa hiyo zana,kondom zinafunguliwa kwa meno,hapa mihemko ndio adui mkuu,wanaume tuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana jamii! kuna rafiki yangu wa kike ana mpenzi wake na alimkuta huyu mwanaume ana mtu wake wakati wanaanza mahusiano, sasa huyu rafiki yangu anampenda sana huyu kaka na kaka mwenyewe...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habar zn wadau. Mim ni kijana ambae nasoma chuo fulani hap nchini (mwaka wa 2),kwa kwl nimetokea kumpnda mschana mmoja ambay yy ni mwaka wa 1.Siku ya kwanz kumuona na kuanza kuvutiwa na huyu...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
WanaJF, Kutokana na mahangaiko ya kila siku, si kila mara mwanaume utataka uende safari 2 na mkeo. Changamoto yangu ni kuwa ni kama mara 3 tu katika maisha yangu ya ndoa (miaka 10+ sasa)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mdada mmoja mke wa mtu alikuwa akisumbuliwa sana na jamaa mmoja aliyekuwa akimtaka kila siku, hatimae akamwambia mumewe. Mume akamwambia mkewe, we kubali tuu, ila mwambie aje mlale hapa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Napenda kumshukuru Mungu kwa ajili ya yote katika maisha yangu najua yote ni mipango yake kupitia thread hii napenda kuwashukuru sanasana wanaJF wote kwa kunifariji kwa kuondokewa na mama...
50 Reactions
84 Replies
11K Views
Hello....! Naomba tusaidiane kuhusu athari chana au hasi za kuwa mbali na mwenza/mpenzi wako kwa muda mrefu ! Kwangu mimi umbali huu hupelekea usaliti,
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakubwa zangu shikamooni! Peoplessssssssssss!!!!!!!!!! Najua xmass iliwabamba kama kawa kama dawa! Kama ilivoada naendeleza mahubiri yangu ya Mrengo wa Kushoto! The real life! Taking control of...
10 Reactions
281 Replies
23K Views
Mimi sijui nilikuwa ninawafanyaje? Mimi sikumbuki mambo yalikuwaje? Mimi siyo kuwa najisifia hata chembe? Mimi hii ni kumbukumbu zangu tu! Mimi nimesahau mengi bali haya tu! Mimi hili swali bado...
21 Reactions
150 Replies
11K Views
wana JF naomba ushauli katika hili,nina mpenzi wangu ambaye mimi ndiye mtu wake wa kwanza yaan nlimtoa bkra,kitu kinachonisumbua na kuniumiza akili ni wakati "tunapokutana" huwa analalamika...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari za siku nyingi wakuu, Nilikuwa busy sana na majukumu ila sasa nimepata likizo kidogo. Nahitaji kampani ya mdada mzuri anayejiheshimu, ya kupata lunch/dinner pamoja na kuongea mambo mawili...
0 Reactions
74 Replies
5K Views
Mi ni kijana, urefu 178cm, 37yrs ninatafuta mwanamke wa kuoa wenye umri kati ya 27-33yrs, mkristo, at least degree, asiwe mnene pls na mweupe kiasi ila siyo wa mkorogo. Kama uko interested...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau,najua humu kuna watu wa kada mbalimbali na ujuzi tofauti tofauti,naombeni mnisaidie. Mimi nina mpenzi wangu tukiwa katika sex,huwa anakuwa na maji mengi sana ukeni,hali hii hunifanya...
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Hi, mie ni msichana wa miaka 30, I have my very on lifestyle which me mwenyewe sijielewi. I am working n managed to rent a house and buy a car some years ago. I live in Dar with a house girl n...
7 Reactions
167 Replies
15K Views
Back
Top Bottom