Ungekuwa wewe ungefanyaje??

Ungekuwa wewe ungefanyaje??

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Mdada mmoja mke wa mtu
alikuwa akisumbuliwa sana
na jamaa mmoja aliyekuwa
akimtaka kila siku, hatimae
akamwambia mumewe.
Mume akamwambia mkewe, we kubali tuu, ila
mwambie aje mlale hapa
kwetu, mi ntajificha
uvunguni na panga. Akisha
ingia ukiona kamaliza
kuvua nguo we ning’iniza mkono anza kuuchezesha,
mi nikiuona ntatoka
uvunguni na kumfunza
adabu.
Mdada akafuata masharti
ya mumewe na hatimae wakaingia chumbani na
yule bwana , mumewe
akiwa tayari na panga
uvunguni mwa kitanda.
Jamaa alipovua shati, mke
alishangaa kuona ana makovu makubwa kifuani
na mgongoni;
MKE: Heee mbona una
makovu hivyo??
JAMAA: Niwe mkweli tuu,
kwako dia!! mie nina tatizo sana la kupenda wake za
watu, waume wengi
wamekuwa wakipanga
kunifumania,
nilishafumaniwa mara kumi
na tisa, na wote walionifumania niliwaua. Ila
jaribio la mwisho nilidakwa
na mapolisi nikatumikia
kifungo cha miaka 27 jela,
Lakini ninavyopenda wake
za watu sitaacha kuua. Hivi sina muda tangu nitoke
huko jela hivyo nina ukame
wa punda na nilipokuona
moyo wangu
ukakudondokea. Na
nitatulia na wewe. MKE: Heee! Haiwezekani
jamani!!….jamaa akaendelea
kuvua nguo alipomaliza
mdada akaanza kujitahidi
kuning’iniza mkono ili
mumewe atoke uvunguni aje kumuokoa, mume
akabana kimya, kila mdada
akijitihadi kupunga mkono
hakupata jibu, mdada
akalalamika mpaka jamaa
akamaliza shughuli zake akatokomea.
MKE: Huku akilia, ndio nini
umenifanyia? Mbona
hukutoka??
MUME: We we we, Weeeee
mama naniii!!.. mwenyewe umesikia keshaua 19
ulitaka niwe wa ishirini?
 
ata mie ningefanya kama jamaa tuu...nani afe kwa sababu ya papuchi...kwani anaibandua
 
Kesho yake ningeenda temeke kuchukua dawa ya kugandana nigemwambia aje tena
 
Najitutumua natoka namfata nalianzisha vagi , kwani kuua kitu gani!!!
Huenda amewaua walevi wa mataputapu. Unazani ataniweza mimi kidume cha Mbegu.
 
Hadithi hii kakufundisha shangazi nani?
 
kila kheri happy new yr 2013. mi ninge pachimba, mwanaume kukomaa bana.
 
Back
Top Bottom