Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamaa akiwa busy kufua viwalo vya mpenzi wake.
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Niliwahi kuwa na mpenzi wangu kwa kipindi cha miaka mitano,baadae akapata nafasi ya chuo kwenda kusoma nje ya nchi.Mapenzi yetu yaliendelea kama kawaida,ikawa akirudi likizo twaendeleza kula tunda...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Bila shaka wapenzi mnapokuwa moto katika mahusiano kuna jina ambalo ulikuwa unamwita mpenzi wako lakini siku hadi siku majina yamekuwa yanazidi kuchuja na kubadilika majina kama ....... dear...
0 Reactions
116 Replies
12K Views
Kama kuna mwanajf yeyote aliyeko dar mda huu ambae anataka kwenda kiwanja au yupo kiwanja please tuwasiliane. Mie hapa leo sina kampani na nimeboreka kinyama yaani nimelikoka mavitu mazito vibaya...
2 Reactions
65 Replies
5K Views
Kiukweli nilikua sijawahi kusuhudia mwanamke akilazimisha ngono kama huyu. " Huyu dada alitongozwa na jamaa yangu ambae ni fundi wa viatu,huyu jamaa ana kazi nyingi sana,sasa huyu dada baada ya...
3 Reactions
68 Replies
6K Views
Mimi huwa nachoka kuskroo chini mpaka nilikute nimeshachoka
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Huu ndio ukweli kuhusu wanaume. 1. The nice men are ugly. 2. The handsome men are not nice. 3. The handsome and nice men are gay. 4. The handsome, nice, and heterosexual men are married. 5. The...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Mnamo Januari 2006 lilitokea tukio moja la kutisha nchini Marekani. Yapo matukio mengi ya kutisha yanayotokea nchini humo, lakini hili lilikuwa ni la aina yake na kwa kweli lilivuta hisia za watu...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
I'm 21 yrs old ,looking for a girl who i'll truly love ! She should be from 18 to 21 !
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi kwa nini lakini mwanamke unaamua kumhudumia mwanaume .mwanaume ambaye ni mwanaume sio jello.mwanaume anaekupenda hakutumii, hakuombi pesa ya mafuta ya gari wala hutomlisha.mwanaume...
1 Reactions
107 Replies
8K Views
hv jaman nishaurini nfanyaje ili niendlee kumaintain mapnz yangu kw mpenz wngu aliensaliti?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nahitaji marafiki wa kuchat nao na kubadilishana mawazo kwa kupitia namba 0759749175 sms zitajibiwa
0 Reactions
0 Replies
855 Views
If your single focus on being a better you instead of looking someone better than you. A better you will attract a better next. Dont wait for a perfect moment instead take a moment and make it...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Muda unakimbia. Maisha yetu hapa duniani yanaishia taratibu. Nashangaa nilikuwa mtoto sasa ni kijana. Natambua ujana huu ambao ni mzuri hautaendelea kukaa na mimi. Nina nguvu na sura nzuri lakini...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwanza nawapa heli ya mwaka mpya wana JF...Wenzangu me navyojua kwa kawaida mwanaume akifika kileleni umwaga manii,sasa tatizo langu ni kwa jinsia ya kike..hivi wakifa kileleni huwa inakuaje,pili...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nilikua na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke M1 kutoka kijijini ambako tulikua tukiishi huyo mpnz wangu alikua akiniaga mara kwa mara kua anenda Jijini Dar kumsalimia dada yake na pia alikua...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Nakaribia Kufikisha Mwaka, toka niwe na rafiki wa kike ambae siku moja nilitegemea tuje kuishi pamoja na kujenga familia bora, nilimpenda sana na hata nilijitoa kwa ajili yake ili awe katika...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
wana MMU leo nimekuja hapa na mada ambayo nataka tuijadili kwa undani zaidi. leo nilipanda gari la ubungo kbh na ndani ya daladala hiyo kulikuwako akina mama wawili ambao ni marafiki wa siku...
5 Reactions
370 Replies
36K Views
Wadau ni suala ambalo mie limenisumbua kidogo. Kwa nini wake huwa hawaelewani na wifi zao? Je ni ujinga wa wake? au? Yaani wakati mwingine unaweza kuta mke ni msomi anashindwa kuelewana na wifi...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Hbr wana MMU? Ktk kipindi hiki cha mwisho wa mwaka pamoja na shamra shamra za x-mas na mwaka mpya, nilikuwa nimejipanga kupata muda wa kumshukuru Mungu kutulinda mwaka huu wote na kutuepusha na...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom