Shukrani za dhati kwa WANAJAMII WOTE

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,358
11,569
Napenda kumshukuru Mungu kwa ajili ya yote katika maisha yangu najua yote ni mipango yake
kupitia thread hii napenda kuwashukuru sanasana wanaJF wote kwa kunifariji kwa kuondokewa na mama mpendwa.
nasema asanteni sanasana kwa moyo wenu wa upendo mliouonyesha popote pale mlipo.,nashukuru mno kwa salamu zenu through pm,simu, na michango yenu ya kifedha. na pia nawashukuru wana JF ARUSHA WING KWA KUJA KUNIFARIJI KWENYE MAZISHI LIVE.
kiukweli namshukuru Mungu na ninajivunia kuwa na familia hii nzuri ya JF
kiukweli sometimes nilikuwa nachukulia utani humu but nimeamini maisha ni haya haya na marafiki wa kweli ni hawahawa
kuna msemo unasema'A bird in the hand is worth two in the bush' nitaanza kuupractice from now!
ninayo mengi ya kushukuru ila hapa hata mikono inashake ila nasema asanteni sana sana Mungu awabariki mno tuendeleze hii zawadi ya upendo tulionao kwani upendo ni silaha muhimu sana maishani

from me to you

They say that true friendship is rare
An adage that I believe to be true
Genuine friendship is something that I cherish
I am so lucky to have met you.

Our bond is extremely special
It is unique in it's own way
We have something irreplaceable
I love you more and more each day.

Friends are forever
Especially the bond that you and I possess
I love your fun-filled personality
Somehow you never fail to impress.

The world could use more people like you
it would certainly be a better place
I love everything about you
You are someone I could never replace.

You are always there for me
When my spirits need a little lift
I cannot thank you enough for that
You are truly an extraordinary gift.

You are everything to me and more
I could never express that enough
Life is such a treacherous journey, and
Without you it would be even more tough.

Our story will continue to grow
With each passing day
Because I trust that with you by my side
Everything will always be Okay.

You are so dear to me
You know I will love you until the end
I will always be there for you, and
You will always (and forever) be my best friend


ASANTENI SANA MUNGU AWABARIKI MTOKAPO NA MUINGIAPO
 

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,236
4,042
Karibu tena Smile. Mungu aendelee kukusimamia na kukupatia nguvu. Tupo pamoja!
 
Last edited by a moderator:

MESTOD

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
4,799
1,988
Karibu Smile, pole kwa maswahibu yaliyokupata.

Mungu akupe nguvu katika maisha haya mapya bila mama!
 

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
oh no! so sorry for what happened! sikuwa najua kuhusu hili, am so sorry, pole sana and wellcome again
 

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,358
11,569
Pole sn best. Mbona hukufika ili tumalizie tanga la Arusha?
Kama umerudi ofisini fanya kazi kama vile hakuna kilichotokea.
We love u!
sory kaka mambo yalikuwa mengi kweli .ila nilitamani sana kuja kuwaona lakini nikawaza kwa vile tar 28 tutakuwa wote mapangoni tanga nikaona niache tu tutaonana pangoni
nikushukuru kipekee na team yako bwana mbarikiwe sana sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

50 Reactions
Reply
Top Bottom