joyness
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 235
- 120
habari wana jamii! kuna rafiki yangu wa kike ana mpenzi wake na alimkuta huyu mwanaume ana mtu wake wakati wanaanza mahusiano, sasa huyu rafiki yangu anampenda sana huyu kaka na kaka mwenyewe anampenda sana, tatizo rafiki yangu anaona wivu juu ya mahusiano ya huyu kaka na huyo dada aliyekuwa naye mwanzo na akitaka kusitisha mahusiano mkaka hayuko tayari, na huyu kaka anashindwa kumuacha mpenzi wake wa mwanzo coz wamekuwa wote kwa miaka minne sasa ushauri kwa my best friend pls!