Salaam za 2013 kuhusu mahusiano

Salaam za 2013 kuhusu mahusiano

Mandown

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
1,665
Reaction score
507
Hebu fanya kasensa kadogo eneo unalo ishi.. kati ya wavulana na wasichana wapi ni wengi?

Nadhani umepata jibu. Wasichana ni wengi na hasa ukizingatia swala la KUOA anaamua mvulana, bargaining power kwa wasichana juu ya mahusiano inazidi kushuka chini.

Sasa basi ushauri kwa kina dada wanaotafuta kuolewa huu hapa!!
  1. kujiheshimu zaidi
  2. vaa nadhifu na (nguo za heshima )
  3. Kuwa mkweli
  4. usipende kuonjesha watu tundi (wala usiwe na skendo, kama unayo base hama mji )
  5. ......
  6. ....
  7. ......
 
Ushauri mzuri huu... evelyne salt where art thou!??
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom