Uko wapi wa kunitoa Upweke?

Babrat

Member
Jun 30, 2012
33
10
Uko wapi wa kunitoa upweke jamani..? Nimekuwa nikisoma thread humu za kutafuta wenza nami nimeona nijiunge ili niweze kutafuta mwenza. Please nipo serious. Mi ni mwanamke mwenye miaka 30,muislam,nina mtoto na ni muajiriwa.
 
ooo karibu sana jamvini je uko tayari kufuata dini yangu ya upagani ili tushee hilo penzi lako..:rockon::A S-coffee:
 
Uko wapi wa kunitoa upweke jamani..? Nimekuwa nikisoma thread humu za kutafuta wenza nami nimeona nijiunge ili niweze kutafuta mwenza. Please nipo serious. Mi ni mwanamke mwenye miaka 30,muislam,nina mtoto na ni muajiriwa.
Niko hapa, ni PM Fasta kabla hawajaja wengi!
 
Miye mkristo, uko tayari? Tutaanza na kumbatiza mtoto wako halafu wewe. Nina miaka 34
 
Kila la kheri, ila usiwe na papara, vinginevyo utajuta na kuilaumu nafsi iliyokutuma kutangaza humu
 
Back
Top Bottom