Akina dada: Hizi mbinu zimepitwa na wakati please!!!

Akina dada: Hizi mbinu zimepitwa na wakati please!!!

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
996
Reaction score
776
Inatokea unamtokea binti umempenda sana. Baada tuu ya kufahamiana na kupeana namba za simu, na
Kabla ya kupanga appointment ya kukutana.

Jambo la kwanza utakuta msg chache za kimahaba kwa saaaana.
Alafu zinafuata msg za kupiga mzinga. "ooh, baby alafu nina tatizo hapa mama hajanitumia hela yaani baby naomba nitumie laki moja basi, alafu napanga kuja huko soon nikupe raha utamu, ilv u baby, mwaaaaaaaa!!!

Nabaki na maswali lukuki, kwanza mtu hata hujui kwao, hujui maisha yake, mmekutana tuu mkafahamiana (lets say kwenye basi). Hivi inakuja akilini kweli mtu kurusha laki nzima wakati possibility ya kuonana tena ni 0.5%

Tumieni akili zenu vizuri
 
Si kila mti una matunda!
Mjini shule!
 
sasa nakwambia huyo ukimtupia laki lazima akugande na utakula papuchi kwa raha zako mwana....wala usiogope hao ndio wazuri sii ndio wanoneshha ni wakugegeda tuu
 
Yani laki moja ndo inakutoa povu hivo!!!
kisu hakina makali nyama utakulaje....
Papuchi ya bure hakunaaaaaa.......
Huwezi achia wenzio
 
Hawa mademu wa siku hizi wameharibiwa na hii mizee ya ccm kwasababu ndio wahongaji wakubwa
 
Lilikutokea nini????
Ila usiogope hayo mambo ni yakawaida hasa kwa watu kama nyie ambao umezoea kuombaomba namba.
We ulizani atafanyaje wakati ulimshobokea mwenyewe ukamuomba namba, si alijua umeshazimika!!!!!!!
Any way unazani atafanyaje ili aweze kula kiurahisi hususa ni pale alipopapata kupumzikia.
 
mkuu siku hizi huo ndiyo mpango mzima wa mjini......... za kuambiwa changanya na zako,akili kumkichwa.
 
Yani laki moja ndo inakutoa povu hivo!!!
kisu hakina makali nyama utakulaje....
Papuchi ya bure hakunaaaaaa.......
Huwezi achia wenzio
mi mbona nakula tu bure..full mtoto kuja maghettoni tuuuu......na kam ni gesti..namwambia njoo na shng flan...nusu ya bill hiyoo...life ni simple sana..bhana...
 
mi mbona nakula tu bure..full mtoto kuja maghettoni tuuuu......na kam ni gesti..namwambia njoo na shng flan...nusu ya bill hiyoo...life ni simple sana..bhana...

Nna wasiwasi nae!!!
 
Hivi inakuja akilini kweli mtu kurusha laki nzima wakati possibility ya kuonana tena ni 0.5%

Bro ume-date facebook ama? Kwa sababu wanyange wa FB hizi ndio zao. Sina uhakika na JF
 
Back
Top Bottom