Kwani wewe unanini..?

Kwani wewe unanini..?

sarikoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
1,194
Reaction score
721
Aisee kuna watu wababe jamani..... nilikua napata kilaji mahala fulani hivi ...kuna jamaa kakaa na binti mzuri sana kama meza ya tatu kutoka tulipokaa...... unajua tena sehemu starabu watu huwa wanaongea kwa sauti za chini na mziki wa sauti ya mbali huku tunashusha vitu baridiii....
Ilikua ni mida ya saa nne au tano hivi usiku.....mara ghafla Jamaa aliyekua kakaa na yule mzuri binti akasimama na kwasauti nzito na ya ukali akamwambia yule dada...USIT*MBWE WEWE UNA NINI BWANA? akarudia tena kwa kumuuliza UNA NINI WEWE USIT*MBWE.
Alivyomaliza hiyo sentisi ya mwisho akamgeukia waiter huku anawasha sigara akawambia aisee tuletee bili tuondoke..

Huwezi amini jamaa kalipa kamshika dada mkono wakaondoka.....dada alikua anatia huruma kama anaenda kuuliwa vile...jamaa alikua kashiba hamna mtu aliyeingilia....
Aisee huyu jamaa kiboko.....
 
Ndio dawa yao hawa, wanakila bia zako alafu ikifika muda wa malipo wanajifanya hawajawahi kabisa na ukizubaa wanakutoroka na ukiwa ----- wanakuwekea yale mabo ya pale Uhuru Peak
 
hahaha kweli huyo ndio mwanaume wa kweli!!! inabidi na mie nianze kuitumia hiyo mbinu.....
 
Hahaha hapo dada lazima awe mdogo ka pilton,kanyonya bia za watu na nyama choma
afu anataka asepe,hapo ni fairplay!!
 
hiyo stail inaitwa mbuzi kagoma kwenda, ila demu atakuwa anaogopa kupigwa tigo
 
soo rude!!!!!!

Lakini ukifikiria labda jamaa kashazungushwa sana na yule dada....ameona wacha atumie ubavu.
Alafu kumbuka uzungu hauapply kwa watu wote huku bongo..sio kama kwene muvi eti jamaa anaenda na demu geto wakula wanakunywa mpaka night kali alafu eti wanaagana demu anarudi kwake mzima kama alivyokuja....Nini? bongo usijaribu kumpa kijana nafasi giza likishaingia...lazima akumege tu.
 
Vya kulazimishana wala havinogi lol! hapo bibie kaenda bakwa tena kavu kavu, mbona pole yake! Hilo jamaa lazima litakuwa limeathirika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom