Waif ananilazimisha kutumia tigo

Waif ananilazimisha kutumia tigo

Ritts

Senior Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
136
Reaction score
33
Wana jf habari zenu hongereni kwa mwaka mpya 2013. Leo kuna kitu nataka mnisaidie ni hivi kuna rafiki yangu kaniambia eti mke wake anamlazimisha wafanye mapenzi kinyume na maumbile japo yeye mume hataki mke anaonyesha hasira na kumtishia kwamba atamshtaki kwa baba yake kuwa yeye ndio anamlazimisha afanye kinyume na maumbile.

Maana yake ili waachane sasa jamaa yuko njia panda hajui afanyeje kwani yeye ni mtu wa dini sana. Akisema amle TIGO ni dhambi akimwacha anashtakiwa kwa wakwe sasa hajui afanyeje yuk
 
Aaa huyo rafiki yako ameisha kula Tigo, kama hapendi mchezo huo anaogopa nini akishtakiwa.

Uliona wapi mtu si mwizi akaogopa Police.
 
Na wewe bwana stori zako! Unaongeaje na mwanaume mwenzio hizo stori lakini? Angalia asije akawa anakuchunuku, am just saying!
 
kama iyo stori ni kweli hujaitunga hapo hakuna mke
 
Wana jf habari zenu hongereni kwa mwaka mpya 2013. leo kuna kitu nataka mnisaidie ni hivi Kuna rafiki yangu kaniambia eti mke wake anamlazimisha wafanye mapenzi kinyume na maumbile japo yeye mume hataki mke anaonyesha hasira na kumtishia kwamba atamshtaki kwa baba yake kuwa yeye ndio anamlazimisha afanye kinyume na maumbile maana yake ili waachane sasa jamaa yuko njia panda hajui afanyeje kwani yeye ni mtu wa dini sana. Akisema amle TIGO ni dhambi akimwacha anashtakiwa kwa wakwe sasa hajui afanyeje yuk

Yule jamaa anaitwa Ritz ni ndugu yako?

Naona majina yenu yanafanana....
 
Aaa huyo rafiki yako ameisha kula Tigo, kama hapendi mchezo huo anaogopa nini akishtakiwa.

Uliona wapi mtu si mwizi akaogopa Police.

Kwa maelezo yake anasema hajamla na kweli ukiona ndoa yao haishi ugomvi kila leo ktk kutaka kumsaidia ndo akaibua hiyo hoja
 
Eeeeeeh! Makubwa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hayo ni mambo yalishawakumba wengi kama huyu jamaa kweli mwanaume wa ukweli asioneshida kushitakiwa
 
Akubali kushtakiwa tu kwa wakwe, au yeye aanze kushtaki kuwa mkewe anataka aliwe tigo.
 
Wana jf habari zenu hongereni kwa mwaka mpya 2013. leo kuna kitu nataka mnisaidie ni hivi Kuna rafiki yangu kaniambia eti mke wake anamlazimisha wafanye mapenzi kinyume na maumbile japo yeye mume hataki mke anaonyesha hasira na kumtishia kwamba atamshtaki kwa baba yake kuwa yeye ndio anamlazimisha afanye kinyume na maumbile maana yake ili waachane sasa jamaa yuko njia panda hajui afanyeje kwani yeye ni mtu wa dini sana. Akisema amle TIGO ni dhambi akimwacha anashtakiwa kwa wakwe sasa hajui afanyeje yuk

Ritz kumbe una id mbili? moja niya kufanyia kazi za Nape na nyingine ya kwako
 
Fidel80 njoo utoe ushauri hapa.
 
Last edited by a moderator:
anataka kula tigo!.kwani vocha zinaliwa?.si amnunulie kabisa vitu vya kupika ili asijelazimishwa kula makatatasi ya vocha.
 
Mwambie huyo rafikio kuwa mkewe kesha fanya nje sasa anatata afanye na ndani. Kama mwanaume hataki kwa nini asianze kushitaki kwa wakwe kwanza?
 
Back
Top Bottom