Vituko Mapenzini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituko Mapenzini

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Apr 19, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,068
  Trophy Points: 280
  1. Ukibikiri, huyo ni wako tu, hata miaka mia ikipita.
  2. Ukimkubali mtu inakuwa siri yako moyoni, ikimkataa unatangaza mji mzima
  3. Unaye mpenda hakupendi, usiyempenda ndo kakuganda
  hebu na wewe mwaga yako moja
   
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Umebobea ktk thread za mapenzi Bujibuji. Big up!
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Buji, hivi wewe ni mwandishi wa udaku? Mbona una makasheshe sana?
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hapo namba 3 pananihusu sana!
   
 5. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hapo Namba moja mimi nimeoa kabisa
   
 6. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hiyo ya kubikiri haina ukweli wowote. Sema asilimia kubwa, lakini siyo kila utakayebikiri atakuwa wa kwako milele. Kuna watu walibikiriana na wanaishi mtaa mmoja lakini hawapeani tena. Mkiona bado mnarudiana hata baana ya kuoa au kuolewa mjijue tu kwamba ninyi na malaya. Mtu asinambie eti amemrudia wa zamani kwa excuse ya kubikiri.
   
 7. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ukiendelea Kupenda CCM utabaki kuwa masikini maisha yako yote.
   
 8. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  >Unayempenda hana hata senti tano, anaekupenda pedeshee la maana..
  >ukiwa na hamu, ye hana, akiwa nayo we huna
  >mara nyingi ni vigumu mtu kumtaja mpenz wake hadharan, hasa kama wapo wengi
  >mkigombana na jina kwenye simu unachange! From myonly1 to fundi majeneza!
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,068
  Trophy Points: 280
  Mademu wanapenda sana watu wenye sura ngumu kuliko mahendsamu
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,292
  Likes Received: 22,068
  Trophy Points: 280
  UNAZIDISHA UTATA..... Unadili gani na fundi majeneza?
   
 11. K

  Kariongo Senior Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jipe moyo
   
 12. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  bujibuji,apo ni katika kutuliza hasira! Au u can change from,honey to simjui, mkipatana unamsave sent from heaven
   
 13. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hmmm so dont tell me,still not booked.
   
 14. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  very true!wanaume warembo hua hawanivutii hata kidogo!
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  pole zako ndio ilivyo ila ukija mpenda tu inakula kwako..
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu duuu hii balaaa :focus:
   
 17. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mijanaume ndivyo ilivyo ukishalivulia nguo basi linakuona huna maana tena....lol ...apo mtu kaachwa njia panda.
   
 18. B

  Baby shangazi Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nmeipenda ya kumuita fundi majeneza
   
 19. k

  kabye JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sawa ....
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  hiyo namba moja siikubali kwa kweli, 2 na 3 ni kweli.
   
Loading...