mhhhhhh! yamenikuta washkaji zangu!

mhhhhhh! yamenikuta washkaji zangu!

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
oyo niaje wakubwa,

hii issue ni jana tu imenikuta, ni baada ya kulala na demu 1 ambae ni house girl wa sister fulani huku A town,
anasemekana alitoroka kwa huyo bosi wake na kwenda kwa mzazi wake!
after there dem alinicoll niende kwake kumuona na baada ya kumuona akanipeleka hadi kwa mzazi wake (mama) ambae hana mume(baba wa binti) after story dem akamuomba maza wake amruhusu niende nae bt mum aligoma!
ni nilisepa lkn dem kafanya kichwa ngumu akamtoroka maza wake akanipigia simu nimpokee usiku wa saa nne!
SHUGHULI SASA!!!!!!!!
maza anadai mwanae ni mwanafunzi na kaleta noumer kwa aliekuwa boss wake na dem nikapigiwa nikasikilize eti kwamba mie ndo niliyemfanya akatoroka kwa huyo boss wake na maa mwenyewe anataka alifikishe suala polisi!!!!!!!!

hapa itakuaje?
nifanyeje watu wangu?

dear FB
 
hii ni tabu ya kuwalisha watoto kupita kiasi
nimegundua 'kufunga chakula' ni nzuri kwa afya na mwili na akili.
 
Kulala na mwanafunzi ni Kosa la Jinai hilo kaka, unashtakiwa na Jamhuri ya Muungano!!!!! Bora utoe kitu kidogo umalizane nao! Rumande sio kuzuri kabisaaaaa!

BTW wanawake wote huwaoni hadi ujisevie hicho kidenti? MTOTO WA MWENZIO NI WAKO!!!!!!!! Ofcourse unaweza kusema kuwa huyo dada ndio ujinga wake lakini yule ni MINOR infront of the law hivo hayuko liable kwa matendo yake!
 
hapa itakuaje?
nifanyeje watu wangu?

Ndio Ukome.

Na bado kati ya hivi vitu vitatu kimojawapo lazima unashwe nacho; kumpa mimba, kuoa bila kukusudia au kufungwa.

Narudia ndio Ukome.
 
Babu seya mwingine huyoooo anaelekea gerezani
 
Ukome.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwahiyo huyo bosi wa binti na yeye hajui anatumikisha mtoto mdogo? Sheria za Child labor zinazemaje
 
Kulala na mwanafunzi ni Kosa la Jinai hilo kaka, unashtakiwa na Jamhuri ya Muungano!!!!! Bora utoe kitu kidogo umalizane nao! Rumande sio kuzuri kabisaaaaa!

BTW wanawake wote huwaoni hadi ujisevie hicho kidenti? MTOTO WA MWENZIO NI WAKO!!!!!!!! Ofcourse unaweza kusema kuwa huyo dada ndio ujinga wake lakini yule ni MINOR infront of the law hivo hayuko liable kwa matendo yake!

Aliyetoa hoja cjamuelewa na wewe cjakuelewa iweke mwanafunzi awe house girl wa mtu?? Mie nadhani hilo ndo kosa la kwanza kabla hatujamdhika mama yake kwa uzembe wa malezi alafu ndo uje rumande wewe kimb**ro dinda..
 
Umefanya kosa kwa kukusudia alafu unatuuliza ufanye
Haya mimi nasema kila mtafuta janga ula na wa kwao
sasa kula na huyo binti ukiwa jela omba computer ili usimiss JF
 
naomba ieleweke hivi! mie sijamkuta dem school, she was just house girl, issue za kuwa mwanafunzi ndo zina arise sa hivi!
 
Oyo ni hivi chalii angu, huo apo msala tayari na kishanuka hicho.
Mi kamanda angu nakuaminia we si mtu wa mazali wala nini sema maza wa demu ako ndio sio mzuka kivileee.
We kama vipi muibukie huyo maza ukiwa na mtu mzima yotote halafu chonga naye ile kisela tu na umuombe msamaha....kama utakua kamili nenda hata na kiroba cha mchele na kuku jogoo ili maza asikinukishe...
Mwana wakikupeleka sentro pale mjini kati itakua msala halafu kitaa tutakukisa ujue....
Peace!!!!
 
kudakeki ku-do ni noma baada ya kumaliza,pole sana we kimb**ro dinda lkn inshu yako ni simple cha msingi nenda na mkwanja wa kutosha ukiwa na mtu mzima hasa wazee,huyo mother anataka mshiko ndo mana yote hayo yameibuka,ukijifanya mmbishi eti unatetea haki dogo piga ua utaishia jela na utaliwa 0713 na wagumu kule wenye ugwadu mda mrefu,pia achana na vitoto kuna madem wanajiuza online sema nikupe jina la mtandao ni kuanzia buku 10 tu:focus:
 
Hii lugha mbona inaniletea crack sound kichwani mwangu au ndo naanza kuzeeka nini?
 
Tena ulikuwa unatafutwa kwa muda mrefu na huyo Aunt.
PM haraka kabla mambo hayajaenda mbali!
Umeshauriwa vizuri na baadhi ya wana jf kuwa uambatane na mtu mzima(mzee) wa kukutetea.
itakula kwako chalii angu!
 
Chalii wangu ilikuwaje na wewe ukamkubalia aje wakati maza wake alishatia ngumu?
Lakini poa cha msingi we komaa na huyo maza chonga nae fresh na kwa upole jifanye we fara mwishoni mtafikia mwafaka kwani anaonyesha huyo binti ni ATM yake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom