Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wapendwa,Mimi ni msichana wa kikristo mwenye miaka 28,naishi dar,nafanyakazi serikalini,natafuta mchumba,awe mlokole,awe na umri kuanzia miaka 30 na kuendelea,awe ana kazi yoyote...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Binti mmoja anafukuzwa na mama mkwe wake heti hana sifa za kuishi na mtoto wake wakati huyo binti ana mtoto mchanga, na amejifungua kwa opration(kwa kisu) mm nikiwa kama jirani yake roho inaniuma...
0 Reactions
1 Replies
694 Views
utakuta mtu baada ya kutendwa na kuteswa na mtu ambaye pengine yy hakumuamin na kushindwa kujitahidi kuyatumikia mapenzi kwa uadilifu na stahili yake au kukutana na mtu asiye na mapenz ya dhati na...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 43,nina dhamira ya kweli natafuta mke.Naitaji mwanamke ambae atakuwa tayari kuingia ktk maisha ya ndoa,natafuta mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 38 na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
habari za jioni wadau nafatilia kipindi cha chereko na kutokana na experience nimegundua ndoa za siku hizi kama zinafungiwa sehemu za dini au kwa mkuu wa wilaya utakuta watu.ni wachache kuliko...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ukimfatilia huyu mdada na facebook status zake,una m-judge moja kwa moja yeye ni mtu wa aina gani,inaonekana ni vuvuzela ndo maana ana kimbiwa. NOV 16, 2012- Wow! THIS IS IT kama alivyosema...
0 Reactions
2 Replies
852 Views
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;- MME;-Nilitamani sana muda huo ufike. MKE;-Vip wataka niondoke? MME;-Hapana hata kidogo. MKE;-Unanipenda? MME;-Ndiyo maana yake. MKE;-Utaniletea demu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hiyo hapo juu ni sura ya mwanamke. Ni sura ambayo pengine umeshakutana nayo mahali au ambayo unaijua vizuri. Kama kuna mwanamke mwenye sura ya aina hiyo, ambaye unamjua vizuri au ambaye uko karibu...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Wajameni, nimechoka kulipia vocha, matumizi, vipodozi, chumba cha shughuli, yaani kila kitu. Kisa, eti kwa kuwa tunapendana. Mbona nabebeshwa mizigo yote na ni kwa mademu woote niliowaduu. Sipendi...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
wanajf nisaidieni mawazo...nina hg kutoka iringa ana wiki ya pili tu tangu nimemlipia elfu sitini kumleta tanga..... nilimsikia akitoa harufu kali sana mwilini nkajua huwa haogi mchana....kwa vile...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Jamani kuwa mzazi nako shuhuli kama huna general knowlegde au baadhi ya vitu huvijui nouma. Kisa hiki kimenitokea jana usiku niliporudi nyumbani mida ya saa 2 usiku nikamkuta mtoto wa wifi yangu...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
siri ya kupata mchumba wa kweli ni yule mwanaume anayekupenda kwa dhati licha ya madhaifu uliyonaya ATAKUFAA.
0 Reactions
35 Replies
10K Views
Ki ukweli nimeangalia sana pornography, sana tena sana na mwisho wa yote nimegundua mengi sana kuhusu uangaliaji wa wa porno na hizi hapa ni athari kubwa usizoweza kugundua mapem kama utakuwa...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Nisaidieni kunipatia majibu ya suali hili: Mtanzania mmoja yupo London akawaagiza ndugu zake wamuolee mke, Wakamuolea (kufanya hivi katika dini ya Kiislamu inaruhusika lakini huwezi kumuingilia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello wana MMU, kama kuna mtu alishawahi somaga story yangu ya zamani kidogo kuhusu sitaki kuolewa nimeamua kuzaa, ni hivi yule niliezaa nae alikua hajaoa bado ila nilimpa goahead akitaka kuoa...
0 Reactions
58 Replies
11K Views
unajikuta mwanaume umeangaika sana, mwenyewe unakiri kwamba inatosha bora nimtafute mmoja nitulie tupange maisha lakini unayoyakuta unaona bora urudi kama mwanza kwa wale watu wale waleeeee...
3 Reactions
118 Replies
7K Views
-"I was raped at the age of 9 "- Oprah Winfrey -"I didn't even complete my university education" - Bill Gates -"I was sexually, mentally, emotionally and verbally abused by my father as far back...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani mwenzenu nahitaji faraja ya mwanamke wa kuniliwaza. Nimetendwa na mke wangu
0 Reactions
90 Replies
7K Views
PENGINE haya tunaweza kuyaweka kwenye kundi la madhara yatokanayo na utandawazi. Mitandao ya kijamii ipo inayowasaidia wanafunzi katika masomo yao na kazi, lakini wengine wanatumia mitandao hiyo...
1 Reactions
38 Replies
29K Views
Nimefurahishwa na tukio la juzi la kuona polisi imeingilia kati familia ambayo ilikuwa inataka kuolesha mtoto wa miaka 13. Wanaume ni lazima kwenye jamii yetu tusimame na kutetea wanawake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom