umeitwa?
upuuuuzi mtupu
mmoja kaleta kabili kake eti "nimeishiwaje! Sina nauli kutokea mbeya". Mwingine naye "simu yangu mbovu, ninunulie nyingine". Kale kazuri ka chuo nako "d, nataka laptop au ipad". Wa zamani anadhani bado namaindi "......" yaani ni kero! Nimechoka
Wadada waache MIZINGA. Wao pia ni wafaidikaji kwa mapenzi. Wasiwaumize vidume ki vile huku wakijifanya wanamapenzi ya dhati. Vidume vingine vinabidi kuwa vibaka ili kupata hela ya kuhonga. Hicho si kipajisasa humu unataka usaidiwe nini?
Wajameni, nimechoka kulipia vocha, matumizi, vipodozi, chumba cha shughuli, yaani kila kitu. Kisa, eti kwa kuwa tunapendana. Mbona nabebeshwa mizigo yote na ni kwa mademu woote niliowaduu. Sipendi na sasa nimechoka na mabilil yenu ya kunifanya ATM!