Jibu sahihi la suali hili lipoje???

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
185
Nisaidieni kunipatia majibu ya suali hili:
Mtanzania mmoja yupo London akawaagiza ndugu zake wamuolee mke, Wakamuolea (kufanya hivi katika dini ya Kiislamu inaruhusika lakini huwezi kumuingilia mwanamke, sina hakika kuhusu dini zingine). Jamaa akaja Tanzania kukutana na mkewe. Mara tu baada ya kushuka Air Port Tanzania akakutana na msichana Mzuri akashawishika akamtongoza wakaenda guest na wakafanya tendo la ndoa! Alipoenda nyumbani kukutana na mkewe akamkuta yule msichana ndo mke mwenyewe!
Je huyo Jamaa alizini au alilala na mkewe? Nini hatma ya ndoa hii??.
 
Mwanaume na mwanamke wote ni wazinzi tu hao...
 
Kila kitu ni nia, pale nia yake ni kuzini kwa hio anahesabiwa ni mzinifu.

Na pili uislam huwezi kuoa mwanamke kabla hujamuona, sa uislam gani hapo unao uongelea.
 
Kwani kuna Dini unaweza kumuowa mwanamke bila kumuona? Hata hivyo hili la kuona kwa siku hizi si kikwazo, umesahau kama ulimwengu wa mitandao huu! Labda ulitakiwa uulize ni kwa kiasi gani walikua wanafamiana katika kuonana sura zao??
 
Watu pekee watakaoweza kukupa jibu sahihi ni wahusika wa imani uliyothubutu kuibainisha.
Binafsi hata hiyo dhana ya kusaidia kuolewa mke sidhani kama nawwza thubutu kuwa muumini wake.
 
Je huyo Jamaa alizini au alilala na mkewe? Nini hatma ya ndoa hii??.
Majibu:
Je huyo Jamaa alizini au alilala na mkewe?
Huyo jamaa alizini na huyo mwanamke maana nia yake ilimsukumu kuzini naye na hivyo hakumtambua kama mke!

Nini hatma ya ndoa hii??
Kama uliwahi kusikia kisa cha aliyeuziwa cheni kauziwa cheni bandia na yule aliyelipa pesa kalipa pesa bandia ndo hicho. Wote si waaminifu, na watakuwa wamejigundua kirahisi kuwa si waaminifu. Hapo uamuzi ni wao kuendelea na ndoa au kutoendelea
 
ni kweli wasameheane maisha yasonge,ila waki du ndani ya ndoa watumie condom....na kila mara wakumbushane matumizi ya condom....mnh.....:shut-mouth::eek:hwell:
Hiyo ndo haifai tu na yenyewe,
Ila hao wote ni wazinzi. Hilo Moja, Pili wanatakiwa kusameheana na kuonyana maana tabia zao zinafanana, labda ndo mke/mme halisi maana wamekutana na kutamaniana

ILA HAIFAI UZINZI UNAUA ROHO NA MWILI (Kwa wakristo)!!
 
Kwani kuna Dini unaweza kumuowa mwanamke bila kumuona? Hata hivyo hili la kuona kwa siku hizi si kikwazo, umesahau kama ulimwengu wa mitandao huu! Labda ulitakiwa uulize ni kwa kiasi gani walikua wanafamiana katika kuonana sura zao??
kuoleana kwa wenzetu waislam ruksa mf. Ant ezekiel ila hiyo ya kuoana bila kuonana ata picha ni kamba.
ameshakuwa mke akujua kuwa mumewe anakuja?
au ndugu wa mwanaume awakujua kuwa ndugu yao anakuja.

au
 
Back
Top Bottom